Je TAKUKURU ya Tanzania inaweza hili la TAKUKURU ya Kenya?

BLACK MOVEMENT

JF-Expert Member
Mar 11, 2020
2,704
6,501
Kuna alie wahi sikia Police au Trafiki kakamatwa na TAKUKURU? ukitoa zile clips ambazo juwa zinasambaa za trafiki kuchukua rushwa na ndipo hatua huchukuliwa.

TAKUKURU si kwamba hawajui kwamba Police hasa Trafiki nili wala rushwa wakuu,au si kwamba hawajui kwamba Vituo vya police vimejaaa rushwa tupu, bali ni kwamba wana muungano wao usio rasimi wa kulindana.

Sana TAKUKURU wanaweza wakamata Madakitari,Manesi,Mahakimu wa mahakama za Mwanzo,Watendaji wa kata na vijiji hapo ndipo limiti yao ya ukamataji inapo ishia zaidi ya hapo hawana huo uwezo.
Screenshot_20231105_101808_com.facebook.katana.jpg
 
Back
Top Bottom