- Thread starter
- #41
haaa ha yani kuna watu makauzu hatari Ruttashobolwa kimsingi umenichosha kwa hii kauli yako
usitishike bebi wangu! tunamwombea uzima awe shuhuda wa upotoshaji wake!
haaa ha yani kuna watu makauzu hatari Ruttashobolwa kimsingi umenichosha kwa hii kauli yako
haya mapenzi hayatodumu, naomba nisiulizwe kwa nini.
hahahaaa...... Ndio aliyekuwa anatafutwa huyo
Passion Lady umenifanya nicheke ka mewhu,mimi huyo kichuna.. ndio mana nlitaka tuufunge huu uzi maana hapa mtaanza kuongea vitu vya ajabu mpaka hubby ashtuke sasa
okay na wewe utulie sasa TheDealer, nitamwambia kiwatengu apunguze threat level from level 4 to 2, walau upite mtaani kwa amani. Nadhani Toria anakulea vizuri kabisa. na anajua how to keep a man. Na ndio maana namwona habanduki hapa
There are currently 3 users browsing this thread. (2 members and 1 guests)

umeona eeehhhh! una busara sana mahabuba wangu!
moyo wangu umepata kishikio steel, usihofu sista angu!