Jamani tatizo sio Rais ni mfumo CCM

Jamani tatizo sio Rais ni mfumo CCM

fazili

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2011
Posts
17,276
Reaction score
23,569
Tatizo sio Mama Samia, kuna tatizo kubwa zaidi kabla yake, tatizo ni mfumo CCM.

Huu mfumo ndio uliomweka Mama alipo na ndio unaompa kiburi na dharau.

Hata Philipo Mpango akiwa rais leo tutaendelea kushuhudia hovyo iliyopo.

Tuuwe huu mfumo CCM kwanza jamani!
 
Tuuwe huu mfumo CCM kwanza.
IMG-20250527-WA0002.jpg
 
Kuna word linapata nguvu sana hivi sasa COMPETENT na INCOMPETENT, chagua linalofaa alafu liweke kwa muhusika!.
 
Tatizo sio Mama Samia, kuna tatizo kubwa zaidi kabla yake, tatizo ni mfumo CCM.

Huu mfumo ndio uliomweka Mama alipo na ndio unaompa kiburi na dharau.

Hata Philipo Mpango akiwa rais leo tutaendelea kushuhudia hovyo iliyopo.

Tuuwe huu mfumo CCM kwanza jamani!
Ina maana hana akili?
Tatizo ni Msoga na yeye
 
Tatizo sio Mama Samia, kuna tatizo kubwa zaidi kabla yake, tatizo ni mfumo CCM.

Huu mfumo ndio uliomweka Mama alipo na ndio unaompa kiburi na dharau.

Hata Philipo Mpango akiwa rais leo tutaendelea kushuhudia hovyo iliyopo.

Tuuwe huu mfumo CCM kwanza jamani!
Toa ujinga, Mwnyekiti wa CCM ndo RAISI wa nchi halafu unasema ni mfumo?😅😅 are you normal??
 
Tatizo sio Mama Samia, kuna tatizo kubwa zaidi kabla yake, tatizo ni mfumo CCM.

Huu mfumo ndio uliomweka Mama alipo na ndio unaompa kiburi na dharau.

Hata Philipo Mpango akiwa rais leo tutaendelea kushuhudia hovyo iliyopo.

Tuuwe huu mfumo CCM kwanza jamani!
No Reforms No Election ndio jibu.
 
Tatizo sio Mama Samia, kuna tatizo kubwa zaidi kabla yake, tatizo ni mfumo CCM.

Huu mfumo ndio uliomweka Mama alipo na ndio unaompa kiburi na dharau.

Hata Philipo Mpango akiwa rais leo tutaendelea kushuhudia hovyo iliyopo.

Tuuwe huu mfumo CCM kwanza jamani!

Siyo kweli.
Huyu mama ana nafasi yake kubwa sana katika uharamia unaondelea nchini, wa kuteka na kuua watu.

Kwa nini kila anaposhauriwa na wakuu wa vyombo vya usalama kukifuta kikundi cha utekaji na mauaji kinachoreport kwake, anakataa, na kumwondoa mara moja huyo mkuu aliyemshauri? Huyu ni sehemu muhimu ya wauaji na watekaji.

CCM kweli ni mbaya, lakini siyo kwa kiwango tunachokishuhudia sasa.
 
Kwani katiba ya nchi na CCM kipi chenye nguvu zaidi?.

Kwa nini asitumie msuli wake wa Amiri jeshi mkuu kuleta mabadiliko chanya nchini na badala yake tunaona watu wanatekwa, kuuawa na kupotezwa?

Yeye ndo mkuu wa mfumo, kama mfumo umefeli basi kafeli yeye!
 
Hii katuni ni "Made in Kenya" au...
Ila watu wamerugwa?.... Haya bhana.
Lakini....
Mama wa 2021 si ni huyu huyu?
Mama wa 4R's si ni huyu huyu?
Mama wa "kuupiga mwingi" si ni huyu huyu?
Mama ambaye Kuna wakati alitamka kuwa amejitolea kwa dhati kuifungua nchi, kuganga yaliyopita hata kwa gharama ya kupoteza urais wake lakini siyo kuzirudia "zama za Giza" SI NI HUYU HUYU? Nini kimemsibu Tena mama yetu? Bila shaka siyo yeye ila ni mfumo.
Swali... Amekubali kuwa mbuzi wa kafara?
 
Back
Top Bottom