Mimi sikumchagua Huyu mjinga na ninaamini watu wengi hawakumchagua, kwa tume ya uchaguzi hii usije ukashangaa hata waliomchagua kura zao hazikuhesabiwa zilitafutwa feki.mi sijamchagua..muulize FF, Rejao na MS ndo wanamemchagua ila sio mimi chonde chonde..zumbukuku nomaaaaaaaaaa
View attachment 43263
Wamama wengi inasemekana walimchagua kwasababu wanavutiwa na sura yake, hivyo kuna uwezekano yakaibuka maandamano kushinikiza sura yake iwekwe haraka kwenye noti.tulimchagua,tunampenda,anaweza,anatuvutia,tunampenda saaaana!!!
mi kiukweli nampenda saaaaana! Tena saana !!!!wamama wengi inasemekana walimchagua kwasababu wanavutiwa na sura yake, hivyo kuna uwezekano yakaibuka maandamano kushinikiza sura yake iwekwe haraka kwenye noti.
inamaana jamaa yuko kuwanufaisha wachache. yeye mwenyewe anajua % yakura zake za ndio na ndio maana mbabe na anajiendeshea nchi ilimradi siku ziende ashakua vyake.
mi sijamchagua..muulize FF, Rejao na MS ndo wanamemchagua ila sio mimi chonde chonde..zumbukuku nomaaaaaaaaaa
View attachment 43263
da feicebook book nimekupendaaaga sana pepsi moja pleasetulimchagua,tunampenda,anaweza,anatuvutia,tunampenda saaaana!!!
ha haha huna haya rejao na roho mbaya zako
Hebu tuambie ulimchagua nani? au bado ulikuwa under 18? Hope now utakuwa umesha attain age of majoritymi sijamchagua..muulize FF, Rejao na MS ndo wanamemchagua ila sio mimi chonde chonde..zumbukuku nomaaaaaaaaaa
Hebu tuambie ulimchagua nani? au bado ulikuwa under 18? Hope now utakuwa umesha attain age of majority
Dr.wa ukweli asie na mashaka sijachagua mtu wa dizain hii anaendekeza anasa na uzumbukuku plus plus..mtu gani mshamba asiejua kuvumilia mambo mapya? sasa hii picha hapa ana tofauti gani na mwenyekiti wa halmashauri ya Nkenge anapo shangaa magorofa ya new york?? shame shame rejao mpua..
View attachment 43318