Jamani shoga huyu amevunja ndoa ya watu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani shoga huyu amevunja ndoa ya watu!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by MTWA, Jul 23, 2010.

 1. MTWA

  MTWA JF-Expert Member

  #1
  Jul 23, 2010
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 1,024
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Kuna jamaa mmoja kijana kabisa katika ile mikoa ya pwani inayosifika kwa ushoga achana na Dar, jamaa alikuwa na mkewe akifanya biashara za hapa na pale. Mkewe alikuwa akizipata nyepesi kuwa jamaa ni shoga lakini kama mjuavyo dada alipouliza tu kipigo alichokipata alijua mwenyewe na kumfanya aachane na habari ile. Maneno yalizidi kutokea, na mwisho hapa juzi kati Jamaa kafumwa yu kwenye nyumba ya mme wa mtu live!
  Yule mwanamke aliyewafuma mmewe na yule shoga akatoweka akidai bora angemfuma na mwanamke kuliko na njemba mwenzake.
  Huku nako mkewe shoga naye kachanganyikiwa hajui afiche wapi uso wake. kaondoka na anahaha maana hakutegemea na aibu kubwa.

  Hivi jamani wana JF kuna haja ya kutetea sheria ya kuwabana wanaomkosoa Mungu Muumbaji!!! kwanini wasipewe adhabu kali.
  Tunarudi Sodoma na Gomora? au hawa watu wana matatizo gani ?
   
 2. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #2
  Jul 23, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Mie hapa nashindwa nisemeje ingawa mie binafsi napinga kwa nguvu zote haya matendo..
  Mungu atusaidie
   
 3. MTWA

  MTWA JF-Expert Member

  #3
  Jul 23, 2010
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 1,024
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Jamani kwa nini tusianzishe sheria ya kuwapa adhabu kali itakayo wafanya waogoge mf. Kuwapiga mawe hadi kufa wote wawili.
   
 4. I

  Ikunda JF-Expert Member

  #4
  Jul 23, 2010
  Joined: Jul 12, 2010
  Messages: 722
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Ole wao mfi**** na mfir**** wote moto wa jehanamu unawasubiri, Mwenyezi Mungu atahukumu mwenyewe, na hizi ni nyakati za mwisho vingi vinavyotokea sasa havina budi kutokea
   
 5. MTWA

  MTWA JF-Expert Member

  #5
  Jul 23, 2010
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 1,024
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Halafu mimi nadhani kuwa hili nalo laweza kuwa tatizo kubwa baadaye watu waonywe kuhusu madhara ya jambo hili.
  Itakuwa hatari kwa vizazi vijavyo kama watageuza hivi tutamuuzi MUngu!
   
Loading...