Jamani SERIKALI inamuua babu yangu!

Baba Matatizo

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2011
Posts
334
Reaction score
64
Naomba msaada wa mawazo toka JF.Nina BABU yangu ambaye ni mstaafu wa idara ya maji Tabora toka tarehe 1april 2009.Mwaka 2010 april ndio alipata rasmi Barua ya kustaafu.Tayari ameshawapa vielelezo vyote kilichobakia ni kumpa HAKI yake tu.Lakini kinachotatiza wanamwambia faili limepote!je NINI afanye?Naomba msaada jamani.
 
Aanzie upya kukusanya faili nyingine
 

Itakuwa vigumu kukupa ushauri wa maana kwa kuwa discipline ya utendaji kazi kwenye public service imekufa. Fikiria wale vikongwe wa East African Community bado wanazungushwa kupewa mafao yao tangu miaka zaidi
ya 15 iliyopita, itakuwa ya babu yako aliyestaafu 2009
 
Aanzie upya kukusanya faili nyingine
kakusanya kila kitu.Tatizo fail ambalo linb kumbukumbu zake wanasema limepotea wakati alishapeleka Full data.Fail hilo hilo mwez wa nne mwaka 2010 lilionekana na ndio akaandikiwa barua ya KUSTAAFU.
 
Lazima ni kada wa CCM huyo babu yako. CCM na rushwa ni damu na nyama.
Atoe rushwa ale kuku wake
 
Lazima ni kada wa CCM huyo babu yako. CCM na rushwa ni damu na nyama.
Atoe rushwa ale kuku wake

its unfortunate piece of truth! wastaafu bongo wana wakati mgumu sana kimaisha. usikute watendaji wanatarajia hana muda atajifia zake waendelee kuvuta pensheni yake kivyao vyao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…