Jamani polisi nisaidieni na tapeli huyu

Jamani polisi nisaidieni na tapeli huyu

nimemtumia mwenyewe kwani wazee hawana uwezo huo ishu ilikuwa nipate kazi

kwa uwezo wa mungu ametuonyesha jinsi watu wengi wanachelewesha maendeleo nchini kwa kununua ajira na kuwaacha waliostahili wakisaga soli mitaani.
 
Huyo jamaa sio tapeli bali katumia fursa kiukweli hayo ndo maisha bora kwa kila mtanzania
 
mnapenda sana shortcut ndo mana ni rahisi kupigwa kitakomwa na boya kama huyo...wa tz hatupendi kufanya reasoning kabisa juu ya mambo mbali mbali tuyafanyayo.

Tamaaa mbele..........Watu wakishatajiwa kazi za mishahara mikubwa huwa wanawehuka kabisa
 
Mmmmmh inaonekana we unapsa nying alfu azina kzi wapleke ata yatima watakuengeze mema ktka maixha
Aaaaaaah pole
$h 500,000/
 
Back
Top Bottom