Jamani polisi nisaidieni na tapeli huyu

Jamani polisi nisaidieni na tapeli huyu

Mimi ni mkaazi wa DAR nipo katka kutafuta maisha tu hii leo nimetapeliwa kiasi cha 500,000 hivi kupitia nambar 0657346184 na 0754594923 anatambulika kama KESHEN NYAKUNGA hupatikana sana iringa na moro, jina lake la utapeli hutumia "afande nasoro"huyu mtu ana sare za jesh la polisi kuanzia buti mpaka kofia anacho kifanya ni kujenga urafiki na wazazi wako wakati we mwenyewe hujui ndivyo alivyo tumia kututapeli kwa kusema nimemtafutia mwanao nafasi ya jeshi mf,jwtz,magereza au polisi hivyo huchkua nakala za vyeti na kuanza mchakato wa utapeli bila wewe kujua. kutokana na umasikini wetu hapo pross za rushwa huanza kupitia kwa wazazi na mtoto. ikumbukwe anatumia sare za polisi alhali si polisi ktka kufanikisha malengo yake mimi yamenikuta kwani anaingia mpaka ofisi husika pindi anapo kamilisha mambo yake na kutumia vyeo bandia wakati wa kuwasiliana na namba zake ziho zinaita mpaka sasa na anaongea na mtu ambaye namba zake ni ngeni mimi namba zangu ni 0714515175 naombeni msaada wenu.

Kwanza polisi inabidi imukamate mke wa kigogo wa jeshi hilo ambaye naye ana kashfa ya kuwatapeli watu kuwa atawatafutia ajira jeshi la polisi ,hii habari ya utapeli wa huyu mama iliwahi kuvuma muda si mrefu hapo nyuma na hadi sasa hakuna kilichofanyika.
 
Mbona nafasi za kujiunga na jeshi,mfano JWTZ zikitoka hutangazwa ktk vyombo vya habari? Sasa iweje wewe ukamwamini huyo jamaa? Au alikuahadi hautapitia depo?
 
Pole ndg yng, kama unamwamini Mungu jitahidi kuepuka milango ya uani kupata kazi. Naamini wakati mwngine utakuwa makini. Wengi humu wanakulaumu kama si wala rushwa au hawatoi kabisa, cha msingi tusaidiane kuepuka rushwa na kuwaepuka hawa matapeli.
Kuna mkurugenzi nae anataka tumpe laki 5 atutafutie kazi za serikali, mi nshastuka kitamboooo!
Nasubiri tu baraka yangu toka kwa Mungu!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Huyu mtu ni tapeli akipigiwa simu na mtu yeyote asiemfahamu hawezi kuja.ila cha kufanya tulia mwezi 1 kisha nunua line mpya alafu uandike msg hivi: Ile interview ya kupata kazi mwanangu kafeli,hapo atajua umekosea namba nae ataanza kukupa michongo hapohapo ndipo utamkamata.mimi naweza kukupa mbinu bora za kumkamata huyo tapeli mchanga ila ukinipa ramani ya maisha yake.
 
Huyu mtu ni tapeli akipigiwa simu na mtu yeyote asiemfahamu hawezi kuja.ila cha kufanya tulia mwezi 1 kisha nunua line mpya alafu uandike msg hivi: Ile interview ya kupata kazi mwanangu kafeli,hapo atajua umekosea namba nae ataanza kukupa michongo hapohapo ndipo utamkamata.mimi naweza kukupa mbinu bora za kumkamata huyo tapeli mchanga ila ukinipa ramani ya maisha yake.

Ahsante Ndugu
 
Huyu mtu ni tapeli akipigiwa simu na mtu yeyote asiemfahamu hawezi kuja.ila cha kufanya tulia mwezi 1 kisha nunua line mpya alafu uandike msg hivi: Ile interview ya kupata kazi mwanangu kafeli,hapo atajua umekosea namba nae ataanza kukupa michongo hapohapo ndipo utamkamata.mimi naweza kukupa mbinu bora za kumkamata huyo tapeli mchanga ila ukinipa ramani ya maisha yake.

Nashukuru Kwa Kunipa Muongozo
 
Kuazima sare za polisi kwa ajilicya tukio maalum ni tsh 15,000/=
Kuchonga laini tsh 2,000/=
15,000+2,000=17,000.
500,000-17,000=483,000.
Faida tupu hapo..!
(Just joking)

Muendee kwa "Fundi"
 
kuibiwa hakuna ujanja ndugu zamu ikifika utaona. hata mi nlisema xana

Ndg yangu kwa hizi njia zenu za kupenya penya mtaiibiwa sana!ss umkamate kwa kesi gani?labda ya kuvaa sare za polisi.....hio ya hela ni ujinga wenu wacha mpigwe tu!
 
Safi sana naona umekutana na za uso company ltd. Weka number yako hapa ya mpesa tukuchangie....lol
 
Mimi ni mkaazi wa DAR nipo katka kutafuta maisha tu hii leo nimetapeliwa kiasi cha 500,000 hivi kupitia nambar 0657346184 na 0754594923 anatambulika kama KESHEN NYAKUNGA hupatikana sana iringa na moro, jina lake la utapeli hutumia "afande nasoro"huyu mtu ana sare za jesh la polisi kuanzia buti mpaka kofia anacho kifanya ni kujenga urafiki na wazazi wako wakati we mwenyewe hujui ndivyo alivyo tumia kututapeli kwa kusema nimemtafutia mwanao nafasi ya jeshi mf,jwtz,magereza au polisi hivyo huchkua nakala za vyeti na kuanza mchakato wa utapeli bila wewe kujua. kutokana na umasikini wetu hapo pross huanza kupitia kwa wazazi na mtoto. ikumbukwe anatumia sare za polisi alhali si polisi ktka kufanikisha malengo yake mimi yamenikuta kwani anaingia mpaka ofisi husika pindi anapo kamilisha mambo yake na kutumia vyeo bandia wakati wa kuwasiliana na namba zake ziho zinaita mpaka sasa na anaongea na mtu ambaye namba zake ni ngeni mimi namba zangu ni 0 naombeni


Duh..jamani mimi nilianza na mtaji wa laki 3 tu kufungua biashara yangu ya kukaanga chips miaka 2 iliyopita na sasa nina biashara kuingiza laki 9-Milion 1 per month huku nikitoa matumizi yote nahifadhi benk lak 5-6 kwa mwezi. Kwanini usingejiajir mwenyewe wakati pesa hizo ni nying kwa biashara ndogo kama yangu?? Mi nilishafuta hizi fikra kuajiriwa baada ya kuona figisu kama zilizokutokea.Tubadilike jama. Lakini pole sana samehe tu fanya kama umenywea bia.
 
Dahh pole sana. Hapo hakuna kesi wewe piga kimya tu kwani ni sawa na kutaka kununua kesi ya rushwa.
 
Wewe Mwisaki??
Na taa zoote huku dar bado hujashtuka kweli? Pole zako na ww ungempa fedha bandia..
Hao nilishakutana nao kazi zilitangazwa Jeshini, wakanipigia simu wakaniambia wanataka 700,000 Cash ili dogo apate kazi, nikawauliza kazi gani atapata wakati ameapply kwa post kama 3, wao wakanijibu yoyote,,nikawauliza yoyote inamaanisha nini??? na je mshahara ni sh ngapi kwa hiyo kazi ya yoyote? wakakosa jibu,,nikawaambia pesa watapata dogo akising contract..Wakasema basi tupatie hata nusu kwanza ili kutuliza mambo..Nikawambia hiyo biashara sifanyi, contact first money later..hawakunipigia tena
 
Back
Top Bottom