Nijuavyo mimi ukiishi na mwanaume miezi mitatu tayari ni mume.sasa miaka mitatu!akiondoka asiondoke na nguo tuu wagawane walivyochuma kwa muda wote huo.alaa!^^
Hivi jamani leo nimepata utata,,hii post ya pili sasa,,UBOYFRIEND unaisha lini?
Miaka 3 unaishi nae bado unamwita boyfriend?
If that the case,,inaweza kuwa sababu ya yeye kutofunga ndoa na wewe!
3yrs tunaishi wote,,bado uniite boyfriend? Maanake akija mwingine akatangaza ndoa basi huyo ni mume?
^^
Nsee a muro, sikupatii picha. usimpotoshe kwa kumshauri kuwa na mwanaume mwingine kwa kukomoa. Anahitaji kutulia na kuamua. Kukukimbilia urafiki na mwanaume mwingine hakusaidii, anaweza kuingia kwa mwanaume mwingine exactly kama huyu aliye naye. Unafikiri ikitokea hivyo kitafuata nini... to commit suicide.Unalia kwani kaondoka na sura ama umbo lako??!!!! EBOOOOOOOOO!!!!!!!!!!!!!!!!! Amka oga tupia pamba yako ingia kitaa tafuta mahali kaa alone kula kunywa, huku ukipanga strategies!!!!!!!!!! yaani ungekuwa mdogo wangu ningekuwasha kibao utie akili....................DONT YOU HAVE PPLE IN UR RESERVE LIST?? ITS TIME TO CALL ONE ON BOARD and start to have fun. Huku ukipanga baada ya kupamba nini kifwate.............its so simple to deal na hawa wanaume wanyanyasaji kama unaakili kama yangu.
kwa mujibu wa sheria mkiishi pamoja kwa muda wa miezi 3 nyie ni mume na mke,ila ndoa hailazimishi ukilazimisha utateseka.na sio wanaume ndio tulivyo co wote ila usilazimishe tulia utapata atakae kuja kujitambulisha.
Habari wana MMU,mimi ni msichana mwenye kazi yangu ya kuniingizia kipato kidogo, na elimu ya kawaida.Kikubwa ambacho kinaniuma sana mpaka naandika huku nalia,Nina BF wangu ambaye aliamishwa kikazi mkoa mwingine na baaadae akanitafutia kazi huko aliko na kuanza kuishi nae(kwa kweli sikuwa napenda kuishi nae bila ndoa).Miaka mitatu sasa imepita,ila jamaa sijawahi kumsikia hata siku moja kudokezea jambo la kwenda kujitambulisha kwetu.Chakushangaza sasa nikimwambia kuhusu swala la kwenda kwetu daaaah!anachonijibu sidhani kama ntakuja kukuoa wewe na ukae ukijua kwamba ukiamua ondoka au ubaki nikufuje tu,ila swala la mimi kwenda kwenu sahau.
nashindwa kuendele jamani,
hivi wanawake mna shida gani aise..?
huenda mmechangia baba ila mama tofauti; get well soon lara 1
GHEEEEEEEEEEEEEEEEE!!Nsee a muro, sikupatii picha. usimpotoshe kwa kumshauri kuwa na mwanaume mwingine kwa kukomoa. Anahitaji kutulia na kuamua. Kukukimbilia urafiki na mwanaume mwingine hakusaidii, anaweza kuingia kwa mwanaume mwingine exactly kama huyu aliye naye. Unafikiri ikitokea hivyo kitafuata nini... to commit suicide.
Huyu anatakiwa kuomba division of matrimonial properties mahakamani coz yuko under presumption of marriage^^ Hivi jamani leo nimepata utata,,hii post ya pili sasa,,UBOYFRIEND unaisha lini? Miaka 3 unaishi nae bado unamwita boyfriend? If that the case,,inaweza kuwa sababu ya yeye kutofunga ndoa na wewe! 3yrs tunaishi wote,,bado uniite boyfriend? Maanake akija mwingine akatangaza ndoa basi huyo ni mume? ^^