chardams JF-Expert Member May 1, 2012 2,439 1,734 Nov 19, 2012 #1 Jamani usije ukaona mtu kakaa anazunguka na kiti ofisini ukazani anakula raha, siku yaleo imenifanya nitamani ujasilia mali Daah.....
Jamani usije ukaona mtu kakaa anazunguka na kiti ofisini ukazani anakula raha, siku yaleo imenifanya nitamani ujasilia mali Daah.....
Heart JF-Expert Member Nov 29, 2011 2,673 1,708 Nov 19, 2012 #2 Imekuajeee??? Kama unapofanya kazi unaonana na wateja direct then lazima uumie kichwa maana...
P proffessor Member Oct 18, 2012 32 2 Nov 19, 2012 #4 chardams said: Jamani usije ukaona mtu kakaa anazunguka na kiti ofisini ukazani anakula raha, siku yaleo imenifanya nitamani ujasilia mali Daah..... Click to expand... sasa unaturusha roho ama vp,kilichotokea hausem unakuwa kama mbulula!!!!!!!!!yani nimechukia,so mniwie radhi wana JF
chardams said: Jamani usije ukaona mtu kakaa anazunguka na kiti ofisini ukazani anakula raha, siku yaleo imenifanya nitamani ujasilia mali Daah..... Click to expand... sasa unaturusha roho ama vp,kilichotokea hausem unakuwa kama mbulula!!!!!!!!!yani nimechukia,so mniwie radhi wana JF
Jakubumba JF-Expert Member Mar 5, 2011 1,624 500 Nov 19, 2012 #6 chardams said: Jamani usije ukaona mtu kakaa anazunguka na kiti ofisini ukazani anakula raha, siku yaleo imenifanya nitamani ujasilia mali Daah..... Click to expand... Tamaa mbaya, ridhika na upatacho maisha yatakuwa mazuri tu!
chardams said: Jamani usije ukaona mtu kakaa anazunguka na kiti ofisini ukazani anakula raha, siku yaleo imenifanya nitamani ujasilia mali Daah..... Click to expand... Tamaa mbaya, ridhika na upatacho maisha yatakuwa mazuri tu!
chardams JF-Expert Member May 1, 2012 2,439 1,734 Nov 19, 2012 Thread starter #7 Filipo said: Embu funguka zaidi Mkuu! Click to expand... Filipo, nimeingia kazini saa 1 asubuhi mpaka wa saa huu bado niko kwa office, hebu imagine ningekuwa nimejiali si ningeenda kupumzika, Kujiajili ndio mpango isee
Filipo said: Embu funguka zaidi Mkuu! Click to expand... Filipo, nimeingia kazini saa 1 asubuhi mpaka wa saa huu bado niko kwa office, hebu imagine ningekuwa nimejiali si ningeenda kupumzika, Kujiajili ndio mpango isee
chardams JF-Expert Member May 1, 2012 2,439 1,734 Nov 19, 2012 Thread starter #8 Jakubumba said: Tamaa mbaya, ridhika na upatacho maisha yatakuwa mazuri tu! Click to expand... Hivi ukutamani kujiajili ni kosa au hujui maaana ya ujasiliamali weye
Jakubumba said: Tamaa mbaya, ridhika na upatacho maisha yatakuwa mazuri tu! Click to expand... Hivi ukutamani kujiajili ni kosa au hujui maaana ya ujasiliamali weye