Jamani nUsije ona....

chardams

JF-Expert Member
May 1, 2012
2,439
1,732
Jamani usije ukaona mtu kakaa anazunguka na kiti ofisini ukazani anakula raha, siku yaleo imenifanya nitamani ujasilia mali Daah.....
 
Imekuajeee??? Kama unapofanya kazi unaonana na wateja direct then lazima uumie kichwa maana...
 
Jamani usije ukaona mtu kakaa anazunguka na kiti ofisini ukazani anakula raha, siku yaleo imenifanya nitamani ujasilia mali Daah.....

sasa unaturusha roho ama vp,kilichotokea hausem unakuwa kama mbulula!!!!!!!!!yani nimechukia,so mniwie radhi wana JF
 
Embu funguka zaidi Mkuu!

Filipo, nimeingia kazini saa 1 asubuhi mpaka wa saa huu bado niko kwa office, hebu imagine ningekuwa nimejiali si ningeenda kupumzika, Kujiajili ndio mpango isee
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom