Kuna msichana ambaye nilitokea kumpenda nikiwa kidato cha nne miaka ya nyuma,tukawa wapenzi ila kwa mawasiliano cz mi nilikuwa shule mbali sana na anakosoma yeye.Nilipomaliza kidato cha sita nilikutana naye kimwili kwa mara ya kwanza na alionekana kunipenda kupita kiasi.Kwasasa nipo chuo namaliza mwaka wa mwisho yeye alifeli na kuishia kidato cha nne ila anaonekana kuniganda ili nimuoe wakati sina hata hisia naye tena.Hata akinipigia sitaki kupokea simu yake.
Wana jf nifanyaje ili tuachane coz nashindwa kumwambia ukweli,nahisi nitamuumiza.
Hahaha! Rafiki acha ku-bust people's bubble lol! Tuseme hata wakiweka namba hapa cycle si itakua ile ile ya kuchezea dada wa watu ? Waoaji wenyewe wapo hapa kweli ?kila mwanaume anaekuja hapa jf na kulalamika
kuna mwanamke 'anamsumbua' na yeye hampendi huyo mwanamke
mimi huwa nawa challenge kitu kimoja tu
weka namba ya simu ya huyo mdada hapa
ili vidume vingine vimfuate na kumfanya asikusumbue wewe tena..
hakuna alieweza.....
why? sababu most of time wavulana huwa na 'fantasy za kusumbuliwa na wadada'....
in reality unaweza kukuta its the opposite......
can you????????
kila mwanaume anaekuja hapa jf na kulalamika
kuna mwanamke 'anamsumbua' na yeye hampendi huyo mwanamke
mimi huwa nawa challenge kitu kimoja tu
weka namba ya simu ya huyo mdada hapa
ili vidume vingine vimfuate na kumfanya asikusumbue wewe tena..
hakuna alieweza.....
why? sababu most of time wavulana huwa na 'fantasy za kusumbuliwa na wadada'....
in reality unaweza kukuta its the opposite......
can you????????
kila mwanaume anaekuja hapa jf na kulalamika
kuna mwanamke 'anamsumbua' na yeye hampendi huyo mwanamke
mimi huwa nawa challenge kitu kimoja tu
weka namba ya simu ya huyo mdada hapa
ili vidume vingine vimfuate na kumfanya asikusumbue wewe tena..
hakuna alieweza.....
why? sababu most of time wavulana huwa na 'fantasy za kusumbuliwa na wadada'....
in reality unaweza kukuta its the opposite......
can you????????
Kuna msichana ambaye nilitokea kumpenda nikiwa kidato cha nne miaka ya nyuma,tukawa wapenzi ila kwa mawasiliano cz mi nilikuwa shule mbali sana na anakosoma yeye.Nilipomaliza kidato cha sita nilikutana naye kimwili kwa mara ya kwanza na alionekana kunipenda kupita kiasi.Kwasasa nipo chuo namaliza mwaka wa mwisho yeye alifeli na kuishia kidato cha nne ila anaonekana kuniganda ili nimuoe wakati sina hata hisia naye tena.Hata akinipigia sitaki kupokea simu yake.
Wana jf nifanyaje ili tuachane coz nashindwa kumwambia ukweli,nahisi nitamuumiza.
duh! wanaume mungu awaepushie jehanam tu mana loh! yani mwanzo ulimpenda sasa yy kakuweka moyoni long ivo sasa wamuona amekuganda nyie mwataka wasichana wa aje mana hamueleweki ujue..........ukimpata akitulia na kukupenda unasema kakuganda na ukipata ambaye hakupendi ila ww wampenda unasema kicheche sasa tuwaeleweje ...........ingekua mm huyo dada haki ya nani huniachi yani kukusubiri kote huko kulaleki mungu shahidi nakushusha bushaaaaaaaaaaaaaa kudadadeki walahi vile nyambafuuuuuuuuuuuuuKuna msichana ambaye nilitokea kumpenda nikiwa kidato cha nne miaka ya nyuma,tukawa wapenzi ila kwa mawasiliano cz mi nilikuwa shule mbali sana na anakosoma yeye.Nilipomaliza kidato cha sita nilikutana naye kimwili kwa mara ya kwanza na alionekana kunipenda kupita kiasi.Kwasasa nipo chuo namaliza mwaka wa mwisho yeye alifeli na kuishia kidato cha nne ila anaonekana kuniganda ili nimuoe wakati sina hata hisia naye tena.Hata akinipigia sitaki kupokea simu yake.
Wana jf nifanyaje ili tuachane coz nashindwa kumwambia ukweli,nahisi nitamuumiza.
Wehu mwingine hauwezi kugundulika hospitalini! Yaani post ya kwanza ni ngono tuuu, lol!
una akili sana ww cjui kwann hujagombea uraisi loh!kila mwanaume anaekuja hapa jf na kulalamika