Jamani Niwishini Happy Birthday Basi! ! !

Jamani Niwishini Happy Birthday Basi! ! !

Acha tu ndo nafikiria hapa nichangieni kwanza kwa m-pesa ndo tupange mipango tehe tehe...
Hako katafrija kafupi cha kukupongeza katafanyikia bar gani?
HPPY BRTHADAY DON MANGI!!
 
heri kwa kumbukumbu ya siku yako ya kuzaliwa.
Mungu akupe maisha marefu zaidi na zaidi.
 
Thank you all, once again, twice again and thrice again.
 
Leo ndo cku nilipatikana kwa uchungu jamani, niwish happy birthday na mama angu mu mpe hongera jaman, nsimsahau baba but najua hakuingia hata wodini. . .a special appreciation to all women kazi mnayofanya kule ndani ni ngumu mno. . .God bless you all!

heri ya siku ya kuzaliwa mkuu!
Mungu Mwenyezi, anayeishi juu sana, akuzidishie sikuzo za kuishi hapa duniani, akuepushe na majanga yote!
Sema 'amina'...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom