Bora yako umecheka... Inaonyesha ni jinsi gani kichwani zilivyo timia, et kuna wadada humu wame ninunia na wanataka kuandamana hadi kwa MODS, et wanadai nimewakosea sana kutangaza biashara yangu hapa...
ama kweli akutukanae hakuchagulii tusi!!!!!!
yaani ww utuuzie sisi makufuli ya hao hawara zako!! kawauzie sis*** zako!!
Sijui hii tabia nilitoa wapi,
kwa kila mdada ambaye nikuwa napata fursa ya kujirusha naye ikuwa nilazima nimuombe aniachie kitu ambacho kitani kumbusha kuhusu yeye, moja wapo ya vitu hivyo ni kumpiga picha naked or kuniachia kofuli, na nashukuru baadhi wali kubali picha na wengi ndio waliniachia kofuli.
Sasa nimekamatwa na mdada huyo ambaye mwezi ujao ndio tunafunga ndoa, sasa nikifikiria zile kofuli za hao wadada niliowai kushare nao faragha na shindwa kuelewa nizipeleke wapi maana ni nyingi kwa kweli, nafikiria kufungua gulio la kuziuza ila naogopa, kama kuna wadada wajf mtapenda kununua karibuni sana.
Swadata mkuu... Wewe ndiye uliye comment jambo la maana kuliko wote, nitafanya hivyo mkuu, nilikuwa na fikiria kuzi scan sema nyingine zina size kubwa hivyo hazitatosha kwenye scanner.
Bora yako umecheka... Inaonyesha ni jinsi gani kichwani zilivyo timia, et kuna wadada humu wame ninunia na wanataka kuandamana hadi kwa MODS, et wanadai nimewakosea sana kutangaza biashara yangu hapa...
si kila anayecheka kafurahishwa na maongezi yako ....
pia kuchukizwa ni aina ya furaha pia.... Vp we ni mmoja wao kati ya walioniachia kofuli zao nn?
unazidi kujidhihirishi how st........*** you are
Sio unawadhihaki wadada bomba wa hapa JF. Aaaagrrrrr.
Aisee sina haja ya kwenda kwa Babu maana niko poa kabisa.Umeenda kwa babu lakini? Nina wasi wasi kama the big five hawajakunyatia. Wahi kabla hujachelewa!