Uncle Rukus
JF-Expert Member
- Jun 16, 2010
- 2,415
- 398
- Thread starter
-
- #41
naona nimeshindwa kula kwa hasira!! hili ni tusi kubwa sana huyu mganyizi alilotutusi!!
Khaa! Jf haiishi vituko.
Kwahiyo sisi tununue tupeleke wapi?
Siyo kweli hiyo ni dhana tu.ni kweli kabisa mtu mchafu huolewa na mchafu mwenzie
Hapana, nina lengo la kuingiza kipato pia.zifue uzipige pasi wife atavaa hamna tatizo kwani hujawahi ona wanawake wanavaa nguo walizokuta ndani ya nyumba za waume zao:wink2:
Ujue hata huyo unaye muoa kaacha nyingi kwa washikaji na kushauri uzichome moto!
kwani kazi yake uijui? we sema kama unataka nitakuelekeza na matumizi yake pia.
Mkuu ni maajabu ya Mussa, ndege mjanja unasa tundu bovu.Mganyizi umeona jinsi ilivyo hatari kucheza karibu na mzinga wa nyuki, wadada wa JF wamekushukia hadi nakuonea huruma, anyway kama vipi we zichome tu! by the way na ya mkeo mtarajiwa imo? angalia mzee asije akakuta ya mdogo wake katika hilo furushi! hahahaha! " Once a cassanova always a cassanova" mzee angalia usije jisahau kama huyo wa sasa ni mkeo mtarajiwa maana nae unaweza muomba aache kufuli!
Upupu upi tena we si umeuliza kwa matumizi gani? na mimi ni kakuambia nitakueleza na namna ya kutumia?sipendi upupu.
usihangaike kaka yangu.Huyo dada hatashangaa kukukuta nazo manake na yeye anafanana na wewe.
Mungu hukupa wakufanana naye, mwizi hupewa mwenza mwizi,fisadi,kwa hiyo kama mnafanana ya nini kuhofia
Ina wezekana kabisa si bishi hata kidogo,ila lengo langu ni kuuza hizo kofuli kabla hajaingia kwenye hii nyumba..... Sijui ni kwa nini hakina Dada waJF wamekuwa wakali kiasi hiki? au kwa sababu mmmhhh sipati jibu nabaki nashangaa tu dah! najua mnataka kunikatisha tamaa ila nitakomaa nazo hadi niziuze zote...
kwani kazi yake uijui? we sema kama unataka nitakuelekeza na matumizi yake pia.
zipige picha uziweke jukwaa la wakubwa< tuwaombe mods waanzishe mnada on line!
Sijawakosea ndio maana sijaomba samahani,kama ikiwezekana niambieni kosa langu na nikijua nimewakosea nitaomba hiyo samahani bilashaka.... Hata hivyo kuna kitu kipya nimejifunza toka kwenu akina dada waJF.Kaka samahani, maana wewe naona hutuombi samahani
huyu mheshimiwa wala sii muoaji,
Mbona kawaida maana hata baada ya mechi kuna mambo ya FAIR PLAY wachezaji hubadilishana jezi ili kumbukumbu ya mechi husika. Just keep 'em man!
Bora useme wewe...... tatizo la wadada waJF hawapendi kuambiwa ukweli, najua na wao wameacha nyingi tu kwa watu sasa wanahisi na uko waliko acha nako zitapigwa mnada kama hivi .....