IT PROFESSIONAL
JF-Expert Member
- Mar 17, 2016
- 228
- 95
Toka huu mwezi uanze umeme unataka kutufilisi,Nina nyumba yenye wapangaji wanne, pamoja na Mimi mwenyewe tupo MTU 5,Tunatumia mita ya luku kama miezi minne sasa,mwezi wa kwanza mpaka wa tatu mambo yalikuwa mazuri tu yaani kwa siku tuliweza tumia unit 2.5-3 hivi,lakini ndani ya mwezi huu matumizi yamepaa ghafla mpaka tunashangaa kwa siku tunatumia unit 7-10.
Tumejaribu kuulizana kulikoni bado hatujajua sababu ninini,tumemuita fundi professional amekagua nyumba nzima ,kila kitu kipo safi,na kuhusu vifaa ni vya kawaida,mpangaji mmoja tu mwenye friji basi.
Wataalamu wa hili tunaomba msada wenu jamani.