"Kitanda hakizai haramu"
Binadamu kama kawaida yetu,tukikosa majibu ya maswali magumu huwa tunajipa majibu myepesi kujipa moyo.
Kwenye hiyo kauli kuna mambo mawili,moja ni kwamba umechapiwa(usaliti) la pili kulea mtoto ambaye si wako, Mtoto ni baraka lakini kulea ambaye si wako inauma na ni ngumu kukubali hiyo hali kama ilivyo ngumu kwa mwanamke kulea mtoto wa Mwanamke mwenzie.
Mkuu kwa Sasa Wewe kuwa mpole,fanya mpango ukapime uwezo wako wa kuzalisha,kama utaonekana upo poa mtoto akizaliwa nenda kapime DNA ila kama utaonekana huna uwezo wa kuzalisha basi usipime DNA,kaa kimya lea mtoto,Mungu anakuwa kakupa mtoto na iwe siri yako