Jamani nisaidieni hii mimba ni ya nani?

Jamani nisaidieni hii mimba ni ya nani?

sasa mkuu umeshaambiwa Kuwa mkeo kagegedwa na mdogo wa mpangaji mwenzako alafu unakuja kuuliza jf hv kwanini usiamini tu kuwa mimba ni ya huyo jamaa aliyemgegeda?
 
Kama hautunyweshi chai ya mchaichai hapa...
.


Kwanza huyo anyekupa taarifa anakuoa kwa nia gani


Na kwa nini usikilize maneno ya watu

Halafu wewe si ndio mune?
Na huyo si mke wako?
Mimba ni yako




Nina mke wangu ambaye tulifunga ndoa miaka miwili iliyopita, kwa muda wote huo alikua hajawahi kupata ujauzito. Nilipata safari ya kwenda nyumbani tanga,niliporudi nikapewa taaeifa kua mke wangu aligegedwa na mdogo wake mpangaji mwenzangu! na baada ya wiki mbili tangu nirudi mke wangu amekua na dalili za mimba je hii ni yangu au ya jamaa. Ushauri unaruhusiwa ila kejeli na matusi no.
 
Furahi unakaribia kuitwa baba wewe!! Kwani wewe una uhakika ni mtoto wa baba aliyekulea? Uliishawahi muuliza mama yako juu ya hilo?
 
mimba ha ha ha hilo tumbo tu kitambi kanenepa
 
Kitanda hakizai haramu yakhee...

Kama wewe ulikuwa huna shabaha umesaidiwa kubali tuu yaishe..Kaa kimyaa wasijue watu wewe...





Nina mke wangu ambaye tulifunga ndoa miaka miwili iliyopita, kwa muda wote huo alikua hajawahi kupata ujauzito.

Nilipata safari ya kwenda nyumbani Tanga, niliporudi nikapewa taarifa kuwa mke wangu alilala na mdogo wake mpangaji mwenzangu na baada ya wiki mbili tangu nirudi mke wangu amekua na dalili za mimba je hii ni yangu au ya jamaa.

Ushauri unaruhusiwa ila kejeli na matusi no.
 
Kitanda hakizai haramu yakhee...

Kama wewe ulikuwa huna shabaha umesaidiwa kubali tuu yaishe..Kaa kimyaa wasijue watu wewe...

kitanda akizai haramu
Kitanda hakizai haramu my foot...... Na kijana kabisa next door?
Unadhani huyo kijana hajui km huo mzigo utakuwa wake?
Hii kama siyo chai basi jamaa aandike maumivu.
 
Nina mke wangu ambaye tulifunga ndoa miaka miwili iliyopita, kwa muda wote huo alikua hajawahi kupata ujauzito.

Nilipata safari ya kwenda nyumbani Tanga, niliporudi nikapewa taarifa kuwa mke wangu alilala na mdogo wake mpangaji mwenzangu na baada ya wiki mbili tangu nirudi mke wangu amekua na dalili za mimba je hii ni yangu au ya jamaa.

Ushauri unaruhusiwa ila kejeli na matusi no.



Kijana inaonyesha huna wivu kabsaa. Wewe muuliza tu kistaarabu akwambie ukweli. Mama ndo anajua mtoto ni wa nani.
 
Nasema hivi huyo demu ni wa kwangu...
Na hapo alipo tayari ana mimba yangu...

Nakataa huyo demu sio wa kwako...
Na hiyo mimba ni ya kwangu sio ya kwako...

Sasa sikiliza Man si umemcheki demu pajani...
Si ana tattoo wewe unadhani kamchora nani...

Weeeee kuchora, kuchora kitu gani unaweza ukachora na bado usione ndani...
 
tafadhali usiharibu mtoto.., tumia condom na kama mkeo ana ham ya nyama kwa nyama MUITE jamaa amalize kazi hadi dogo akue...! ww si ulikubali kugegedewa kirahisirahisi tu mtengano haukuwepo...msaidiane huduma na dogo.
 
Nina mke wangu ambaye tulifunga ndoa miaka miwili iliyopita, kwa muda wote huo alikua hajawahi kupata ujauzito.

Nilipata safari ya kwenda nyumbani Tanga, niliporudi nikapewa taarifa kuwa mke wangu alilala na mdogo wake mpangaji mwenzangu na baada ya wiki mbili tangu nirudi mke wangu amekua na dalili za mimba je hii ni yangu au ya jamaa.

Ushauri unaruhusiwa ila kejeli na matusi no.

!
!
kajipime uhakikishe mkurugenzi, usikute unakojoa povu.
 
Back
Top Bottom