Jamani niruke nae au nighairi?

Nigee namba yake basi na mie
 
Mmm kupingana na vishawishi nayo ni kazi nyingine ngumu sana hasa kwa sisi wanaume. Imagine demu anakuja kupapasa upaja wake huku anarembua Jogoo ataacha kuwika kweli ndugu? Na bado kila siku anatafuta namna
Nimekushauri jambo ambalo ninaliishi na faida zake naziona. Mimi nimetegwa sana mitego ya hivyo kabla na hata baada ya kuoa. Na wengi wao lengo lao "niwazalishe",lakini bahati mbaya yao tangu nabalehe nilishafundishwa thamani ya nguvu zangu za kiume na kwamba sipaswi kuzitapanya.

Kuzitunza nguvu zangu za kiume ni mradi ambao unanilipa kweli kweli(faida ni nyingi sana sana).
 
Mmh sidhani kama itawezekana maana mimi ni mwanaume mwenye hisia
 
Mmm kupingana na vishawishi nayo ni kazi nyingine ngumu sana hasa kwa sisi wanaume. Imagine demu anakuja kupapasa upaja wake huku anarembua Jogoo ataacha kuwika kweli ndugu? Na bado kila siku anatafuta namna
Nimekushauri jambo ambalo ninaliishi na faida zake naziona. Mimi nimetegwa sana mitego ya hivyo kabla na hata baada ya kuoa. Na wengi wao lengo lao "niwazalishe",lakini bahati mbaya yao tangu nabalehe nilishafundishwa thamani ya nguvu zangu za kiume na kwamba sipaswi kuzitapanya.

Kuzitunza nguvu zangu za kiume ni mradi ambao unanilipa kweli kweli(faida ni nyingi sana sana).
 
Kwahyo unafikiri ukiruka nae utakua unakula bule,au unafikiri yakwake ina keki ndani tofauti Naya mkeo?nenda kamshape mkeo awe msafi kama huyo unaemkuta hapo kwenye dirisha la malipo na pia ichape mara 3 mfululizo Wala hutolitamani Tena Hilo danga coz linajisogeza kwakua limenusa harufu ya Ankara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…