Jamani nini kilimpata Tulia kuachia uspika

Jamani nini kilimpata Tulia kuachia uspika

NI UTARATIBU WA KAWAIDA KAMA AMBAVYO MAMA WA AFRICA NA DUNIA DR SAMIA SULUHU HASSANI ATAKAVYOMUACHIA KIJANA MZALENDO NCHI MWAKA 2030 NDUGU RK
 
Ila nilichokiona kama vile wanaishigi maisha ya kuelekezwa kufanya ubaya hata kama hawakubaliani nao,sasa hivi namuona kama furaha
Sawa na nyani umtoe msituni alikokuwa analala kwenye miti halafu mfungie ndani ya fensi awa analalia godoro
 
Sasa hivi anafanya challenge ya kusuka instagram 😹😹😹
 
Back
Top Bottom