Jamani nini cha kufanya maana sielewi

Jamani nini cha kufanya maana sielewi

kwangu mie huyo mwanaume hafai atakusumbua sana........ mpenzi tu ajue mshahara wako na matumizi??? kuwa makini
 
Ndomana siku zote mnafail nyinyi inamaana hata ukiolewa mume alikuwa na kazi akaja kufukuzwa kazi mko kwenye ndoa utamkimbia sio ndo nyinyi mnaopenda watu kwenye kivuli kukiwa na ukame na jua unamkimbia pumbavu km unampenda na anamapenzi na ww ya dhati siumsaidie nyinyi wanawake sijui mkoje mnapenda mburuzo kumkuta mtu anakila kitu haya kaolewe na mtoto wa mengi Bas shwine weee
 
Mi nakuja kuongelea swala hilo la mahari hayo mambo ya mahar ni yakizamani kwan we.unauzwa ???sikuhizi watu wakipenda wakienda k2a wazazi wao kama ni timamu hao wazazi la msingi ni kuwasapot katika hali na mali na zaid zaid ni kuwapa baraka watoto wao

Wazazi wengine hufanya watoto wao kama mirad ila hiyo mambo haipo now kama ni real love mpe nafasi na mfanye tu business
 
toka mwanzo huna ulichoshauri,hivi kuna makubwa mangap yanaletwa sembuse langu,bora niombe ushauri huku kuliko niamue maamuzi ya ajabu.hata ukinidharau unipunguzii kitu najua mimi faida yake.
kajinyonge basi
 
Salaaam wanaJamiiForums hope wazima.

Mimi ni mwanamke jamani,nina mpenzi wangu naamini ananipenda nami nampenda, mimi nina kazi nae anayo lakini anataka aache sababu hawampi salary yake tangu aanze ana nusu mwaka lakini wamempa mwezi mmoja tu.

No.1,tatizo mpenzi wangu anataka nimwambie matumizi yangu yote ya mshahara hata kununua nguo, kusuka yaani kila kitu na anataka tuchange hela tuanze biashara kumbka ni wapenzi tu

No 2,kuna malengo alijiwekea moja wapo ni mwakani aje kwetu apose na atoe mahari. Sasa mpenzi hana kazi ya uhakika nawaza akija nyumbani ataweza kutoa mahari atakayopangiwa au tusubiri akipata kazi ndo tuanze mipango?mwenzangu analazimisha tufanye sa naogopa tusije tukaaibika kwa kulazimisha kitu,na anasema lengo lake moja likishindwa kutimia si ntamsaidia litimie? kweli sijui nifanyeje.

Nisaidien kimawazo.
kaolewe na hiyo kazi
 
Salaaam wanaJamiiForums hope wazima.

Mimi ni mwanamke jamani,nina mpenzi wangu naamini ananipenda nami nampenda, mimi nina kazi nae anayo lakini anataka aache sababu hawampi salary yake tangu aanze ana nusu mwaka lakini wamempa mwezi mmoja tu.

No.1,tatizo mpenzi wangu anataka nimwambie matumizi yangu yote ya mshahara hata kununua nguo, kusuka yaani kila kitu na anataka tuchange hela tuanze biashara kumbka ni wapenzi tu

No 2,kuna malengo alijiwekea moja wapo ni mwakani aje kwetu apose na atoe mahari. Sasa mpenzi hana kazi ya uhakika nawaza akija nyumbani ataweza kutoa mahari atakayopangiwa au tusubiri akipata kazi ndo tuanze mipango?mwenzangu analazimisha tufanye sa naogopa tusije tukaaibika kwa kulazimisha kitu,na anasema lengo lake moja likishindwa kutimia si ntamsaidia litimie? kweli sijui nifanyeje.

Nisaidien kimawazo.
una mawazo mgando kama akili yako ningekuwa mimi ni mumeo ungenikomaa ningeweza kuishi na uchafu kama wewe.
 
kila anayeleta mada huku,ni hana msimamo binafsi?wew ndio hujitambui na huelewi mada yang imeuliza cha kufanya kwamba aje au tujipange kwanza,hamna sehem iliyouliza nimwache means hakipo kichwan kwang .so u too take care na ujitathmini vizuri una nin!!
kama ulikuwa na maamuzi binafsi huku umefuatwa nini huna msimamo wowote ni umbea tuu umekujaa kichwani
 
soma bs uelew vizuri mada,issue sio kujua mshahara ila ni kutaka kujua matumizi yote yani hadi kununua hereni,nguo n.k
hata nguo za ndani ukinunua unasema
 
kama ulikuwa na maamuzi inafsi huku umefuatwa nini huna msimamo wowote ni umbea tuu umekujaa kichwani

Kweli Kabisa Angekua Ana Msimamo Binafsi Asingeleta Habari Yake Hapa, Kwanza Ipo Kimalalamiko Na Si Kutaka Ushauri Hasa Namba Moja... Huyu Hata Siri Za Chumbani Atakua Anawasimulia Majirani... Kwa Mtu Unayempenda Na Kumthamini Hata Huwezi Kuja Kumwandika Humu.. Kuna Mambo Mengine Unatakiwa Uamue Ww Kama Ww Unataka Ushauri Kwani Tunampenda Wote? We Si Ndo Mlaji? Na Ndiye Uliye Na Hisia Naye? Kuna Mambo Si Ya Kusemasema, Mimi Hata Iweje Siwezi Kuleta Mambo Yangu Ya Mahusiano Jukwaani Ila Nitachangia Tu. Nisije Nikawa Kama Mwanamke Mpumbavu Hubomoa Nyumba Yake Kwa Mikono Yake Mwenyewe.
 
Njoo pm mtoto mzuri! Njoo tuongee taratibu, haya mambo hayahitaji kupiga mayowe! Sawa binti mzuri, hembu njoo Achana na wakware wa hapa JF!

Sidhani kama kuna tatizo lolote hapo unampenda na yeye anakupenda kubaliana nae apeleke barua coz ana nia njema kabsa na wewe kikubwa wew una kazi kwan mahali kitu gan ata kama ikipangwa mahali mutasaidiana kutoa embu mwelewe mwenzio
 
We mdada hapo pa kuchanga muanze bussiness usikubali,wanaume ni matapeli!!utalia,MTU mwenyewe mpenzi??angekuwa mume sawa.
 
Mimi nahisi huna malengo ya kuishi na huyo mchumba wako ndo maana unawaza hataweza kulipa mahari wezako wanawaza maisha baada ya ndoa wewe unawazia mahari? mahari hatoi yeye yote kama ana wazazi baba yake na wajomba ndo wanahusika na hata hivyo mahari huwa haimalizwi yote, usikariri maisha et mpaka apate ajira asipopata hamuoani? wewe una mshahara na unampenda huyo mchumba wako jibajet tenga pesa kiasi halafu mpe wazo la biashara akikubali mpe hiyo pesa ila usishiriki katika hiyo biashara na ufanye kama umemsaidia mtaji na kama ndugu wa kawaida tu ambaye hutahitaj chochote kutoka kwako ila mshauri na kumtia moyo pale atakapohitaj mawazo yako, mshahara wako wala usimwambie na wala usikubali et kuchanga, haya unaweza kuyafanya kama kweli una nia na huyo mpenzi wako, na usiwaze mahari kama unaona mmekaa kwenye mapenzi kwa muda wa kutosha na mnajuana pigen hatua nyingine kuliko kusingizia ajira ambayo hauna uhakika siku atapoipata
 
We nae ni mbinafsi sana. Acha kumpotezea muda kijana wa watu na mapenzi yake ya kweli.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom