Jamani nini cha kufanya maana sielewi

Jamani nini cha kufanya maana sielewi

Naona kina Yahaya humu wamepanic

Hahahaaaaa mkipewa ukweli wa upande wa pili wa shilingi huwa mnafafuta vimaneno vya kashfa.

Ukiwa na akili ya Mange Kimambi lazima utakuwa mtazamo kama wako. Endeleeni kumchangia hizo dola 20 za kuwalipia fee ya hizo online dating website na nyie mpate wazungu maana ndio fantasy inayofanya muongeze traffic kwenye blog yake huku yeye anapiga hela
 
Kwani nawe ni kati ya kina Yahaya walopanic bro?
 
We kaka acha tu, bint akikosa msimamo kipindi cha kumtambulisha mwenzie, atapelekeshwa hadi ashangae. mara nyingi wababa hawana shida ila wamama wanapenda mali nyingi na harusi za kifahari ili wapewe sifa na mjirani, wakati mwingine binti mwenyewe ni full sheeeeda.

Basi Mama yangu ni tofauti, alinambia nisitaje mahari kubwa...isije kuonekana wananiuza.
 
Hahahaaaaa mkipewa ukweli wa upande wa pili wa shilingi huwa mnafafuta vimaneno vya kashfa.

Ukiwa na akili ya Mange Kimambi lazima utakuwa mtazamo kama wako. Endeleeni kumchangia hizo dola 20 za kuwalipia fee ya hizo online dating website na nyie mpate wazungu maana ndio fantasy inayofanya muongeze traffic kwenye blog yake huku yeye anapiga hela

Tena wajiulize mbona Huyo Mange alishindwa kumpata mume bilionea Bongo, tena alikuwa anaishi Mbezi beach....sio kama anavyoshauri wenzake wakapange mikocheni...sana sana aliishia kuzalishwa na wajanja wa town na kutemwa....
 
Aisee Nina Uhakika Angekua Na Hela Usingesema, Kummbuka Uvumilivu Ni Ngao Moja Wapo Ktk Kudumisha Mahusiano Pia Ni Tunda La Roho, Ni Vizuri Kumsitiri Mwenzako Katika Hali Zote Za Maisha Mnazopitia Upendo Upo Ndani Ya Moyo Na Si Pesa Na Mtu Mwenye Penzi La Dhati Huwa Haangalii Uwezo Wa Mtu Ila Hutazama Lile Pendo La Ndani. Na Kama Umeweza Kuleta Hoja Yako Humu Basi Nina Uhakika Hata Rafiki Zako Umewaambia.. Jifunze Kutotoa Udhaifu Wa Mwenzako Nje Na Ndo Maana Neno La Mungu Linasema Mtii Mume Wako, Hata Kama Hana Kitu Usitumie Njia Hiyo Kuanza Kumdharau Ni Dhambi Kubwa Sana Kama Zilivyo Dhambi Zingine,, Na Wasichana Wengi Tunapenda Kujiuliza Huyu Niliye Naye Ana Nini? Badala Ya Kujiuliza Kesho Tutakua Na Nini? Siku Zote Mwanzo Mgumu Hata Wewe Hukuzaliwa Na Hiyo Kazi Naye Atapata Tu.. Ndoa Ni Kusudi La Mungu Sio Bahatina Ukitaka Bahati Ya Kuolewa Na Wenye Nazo Utapata Ila Kuna Siku Utamkumbuka Yule Uliyekua Unamtilia Shaka Eti Kwasababu Ya Pesa. Mi Nilifikiri Hana ( Si Mwaminif) Ningempata Mm Ningemheshimu Sana
 
Kwani ni lazima niwe yahaya ili nitofautiane na mtazamo wako?

Kwani kutofautiana mtazamo ni tatizo?
Nimeongelea waliopanic ukajipendekeza kudakia na maneno meeengi!!

Na bado nikakuuliza kama nawe ni kati ya waliopanic, unambwelambwela tu.

Na nikuambie labda, nina mume ndoa mpyaaa hata kero za muungano hazijaanza so huyo Mange hanihusu kwa lolote.
Acha kiherehere.
 
Tena wajiulize mbona Huyo Mange alishindwa kumpata mume bilionea Bongo, tena alikuwa anaishi Mbezi beach....sio kama anavyoshauri wenzake wakapange mikocheni..

Nawe umeingiaje??
Haya....
 
Kwani kutofautiana mtazamo ni tatizo?
Nimeongelea waliopanic ukajipendekeza kudakia na maneno meeengi!!

Na bado nikakuuliza kama nawe ni kati ya waliopanic, unambwelambwela tu.

Na nikuambie labda, nina mume ndoa mpyaaa hata kero za muungano hazijaanza so huyo Mange hanihusu kwa lolote.
Acha kiherehere.

Hahahaaaa Sasa nani kapanic hapo kati Yangu na yako?
By the way mpe pole mume wako
 
:violin::violin::dance::dance::drum::msela::msela😱k, my sweet lotion, my honey ya Tabora, mi bado nashangilia kuuhama usingle sio suala dogo atiiii! si ndio honey?
Ni suala dogo tu dia....mbona kitambo tu nimekudondokea....nilikuwa nakuvizia tu..........
 
embu msibadilishe nilichokipost,nimesema sabab hana kaz mim unajiongelea tu,kama vip nyamaza hutaharibikiwa kitu.

Tungeshauri Uachane Naye Ungefanya Hivyo Kwani Mpaka Umeleta Jukwaani Ni Kwamba Ww Huna Msimamo Binafsi Ndo Mana Umeleta Kwa Wadau Na Kwa Mantiki Hiyo Ingetokea Wote Tunakwambia Achana Naye Ungekubaliana Nasi.. Take Care
 
kila anayeleta mada huku,ni hana msimamo binafsi?wew ndio hujitambui na huelewi mada yang imeuliza cha kufanya kwamba aje au tujipange kwanza,hamna sehem iliyouliza nimwache means hakipo kichwan kwang .so u too take care na ujitathmini vizuri una nin!!
 
Jamani mie naona atafute kwanza kazi ya kueleweka a-settle down ndio mpange mipango mingine,uwiii maisha sasa magumu,
Napata piacha akija kujitambulisha
Kutoa mahari , swala ka harusi pia ,kupanga future yenu bado mna mengi ya kujipanga
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom