Jamani nini cha kufanya maana sielewi

Jamani nini cha kufanya maana sielewi

mi ni mtu mzima najua kuchambua ushauri mzuri na mbaya so usdhan kila ushauri ntachukua.si kila nnachowaza ni sawa ndo mana weng wanakuja huku kupata diff idea,hope umenipata

ungekuwa na hekima ungekuja kujithalilisha humu nimekudharau sana
 
1.Huyo mpenzi hana tofauti na wanawake kina Mange type.... kasoma upepo.

2.Mwanaume kashatanguliza kushindwa na kusaidiwa hana moyo wa kupambana kutafuta.

3. Unapoingia kwenye uhusiano usiingie kama kipofu ilhali unaona. Ambavyo vinakupa mashaka vifanyie kazi mapema usije kujutia uzembe wako.

4. Wewe ndio unapajua kwenu mama, hata mimi nisingependa kuona mwenzangu anakuja kua kioja kwenu, na familia zingine sio waelewa...
mshauri ajipange kwanza.
 
Ni kwa vile hana kazi ya maana ndio maana hiyo namba moja imekuwa ishu kwako. Embu jiulize endapo angekuwa na kazi nzuri wewe usinge penda kujua mshahara wake na matumizi yake? Acha unyanyapaa

Naona umeng'ang'ania kuuliza kama ni sawa yeye kuomba kusaidiwa mahari na gharama za ndoa. Tatizo ni wewe na sisi yeye dada yangu, una expectations za kuolewa na Mume mwenye hela,hapo ndio tatizo lilipo. Aliye kwambia kuwa huwezi kufunga ndoa mpka uwe na mamilioni ni nani? Ndoa ni jukumu la jamii iliyo kuzunguka,Nyie Si mmechangia wenzenu wengi tu kwenye harusi Kwahiyo na nyie mta changiwa.halafi Kwani wazazi wako wana mpango wa kumtajia mahari ya Milioni ngapi? Hakuna anaye shindwa kuoa kwasababu ya kukosa posa. Acha kumnyanyasa aisee,maisha ni kupanda na kushuka dada yangu.

Mke mwema humpa Moyo na kumsaidia mwenzake kwa hali na mali. Hiyo ndio dhana na ya maisha ya ndoa na mapenzi,kuwa karibu na kumpa support mwenzako hasa wakati wa shida.

Mwisho niseme kwamba binafsi sioni ubaya wa kujua mshahara wa mwenzako. Kama mnaweka siri katika mahusiano then nini maana ya kuwa mwili mmoja? Kuna sababu gani ya msingi ya kuficha kipato chako? Huoni kuwa inaweza kuwa na faida kama akijua ili endapo utakuwa ni mtumiaji mbaya wa hela akukosoe? Au mwenzetu una kiserengeti boy una kihonga?

"Upendo uwe kwenye kweli na kweli kwenye Upendo"
 
mkuu sina la kuongeza umemaliza yote. nzurii
 
mahali ya nn sista kama mnapendana we kaishi nae tu ila kama we ni goods upo dukani ng'ang'ania hayo mahari uone kama hujapoteza iyo bahati eti,,yn umepata bahati unasema et ooh mahari....pole sn kwa hilo!!!!
 
kwa akili zako zilivyo wewe..kitu nlichojihakikishia ni kuwa hata kama jamaa angekuwa na kazi nzuri yenye mshahara mnono..INGEFIKIA KIPINDI KAFUKUZWA AU KAFILISIKA...NINA UHAKIKA 100% UTAMKIMBIA WEWE

kapata kazi juzi,means mwaka na nusu niko nae hana kazi na maisha yamesonga had hapa tulipo.so dont judge.
 
ungekuwa na hekima ungekuja kujithalilisha humu nimekudharau sana

toka mwanzo huna ulichoshauri,hivi kuna makubwa mangap yanaletwa sembuse langu,bora niombe ushauri huku kuliko niamue maamuzi ya ajabu.hata ukinidharau unipunguzii kitu najua mimi faida yake.
 
Ni kwa vile hana kazi ya maana ndio maana hiyo namba moja imekuwa ishu kwako. Embu jiulize endapo angekuwa na kazi nzuri wewe usinge penda kujua mshahara wake na matumizi yake? Acha unyanyapaa

Naona umeng'ang'ania kuuliza kama ni sawa yeye kuomba kusaidiwa mahari na gharama za ndoa. Tatizo ni wewe na sisi yeye dada yangu, una expectations za kuolewa na Mume mwenye hela,hapo ndio tatizo lilipo. Aliye kwambia kuwa huwezi kufunga ndoa mpka uwe na mamilioni ni nani? Ndoa ni jukumu la jamii iliyo kuzunguka,Nyie Si mmechangia wenzenu wengi tu kwenye harusi Kwahiyo na nyie mta changiwa.halafi Kwani wazazi wako wana mpango wa kumtajia mahari ya Milioni ngapi? Hakuna anaye shindwa kuoa kwasababu ya kukosa posa. Acha kumnyanyasa aisee,maisha ni kupanda na kushuka dada yangu.

Mke mwema humpa Moyo na kumsaidia mwenzake kwa hali na mali. Hiyo ndio dhana na ya maisha ya ndoa na mapenzi,kuwa karibu na kumpa support mwenzako hasa wakati wa shida.

Mwisho niseme kwamba binafsi sioni ubaya wa kujua mshahara wa mwenzako. Kama mnaweka siri katika mahusiano then nini maana ya kuwa mwili mmoja? Kuna sababu gani ya msingi ya kuficha kipato chako? Huoni kuwa inaweza kuwa na faida kama akijua ili endapo utakuwa ni mtumiaji mbaya wa hela akukosoe? Au mwenzetu una kiserengeti boy una kihonga?

"Upendo uwe kwenye kweli na kweli kwenye Upendo"

toka tunaanza uhusiano anajua mshahara wang na malengo makubwa niliyopanga the same to yeye najua.
 
ungekuwa na hekima ungekuja kujithalilisha humu nimekudharau sana

watu kama nyie jf ni kawaida so hamnisumbui,but nashukuru wanaojitambua wanakuja na wanaongea ya maana.
 
toka tunaanza uhusiano anajua mshahara wang na malengo makubwa niliyopanga the same to yeye najua.

Kwahiyo ishu ni wewe kutotaka kuulizwa namna unavyo tumia mshahara wako? Huenda anaona una matumizi mabaya hivyo ana kuhurumia huenda hutotimiza malengo uliyoweka.

Kuhusu kuchanga hela mfanye Biashara hilo ni wazo jema. Tena shukuru umepata mtu ambaye ana mawazo hayo maana kuna wanawake wenzako bf zao wanawaza kuuza sura samakisamaki tu. Cha msingi kama unaona huwezi kutoa huo mchango ongea naye na umueleze sababu za kushindwa kwako,Jaribu kumuonyesha uzito wa Malengo yako uliyo jiwekea pengine haoni kuwa malengo yana faida. Wakati huohuo msaidiane kupata alternative ya kupata mtaji wa biashara.

Kuhusu ndoa mimi sioni complication sababu mahari huwa hela kidogo na Si lazima mfanye sherehe kuuubwa otherwise kaa naye chini mpe moyo na mwambie mvute subira akipata kazi au mkiweza kuwa na biashara iliyosimama kidogo ndio ndoa ifungwe ili ajisikie kuwa mpo pamoja
 
asante ndug nimekuelewa.
 
Salaaam wanaJamiiForums hope wazima.

Mimi ni mwanamke jamani,nina mpenzi wangu naamini ananipenda nami nampenda, mimi nina kazi nae anayo lakini anataka aache sababu hawampi salary yake tangu aanze ana nusu mwaka lakini wamempa mwezi mmoja tu.

No.1,tatizo mpenzi wangu anataka nimwambie matumizi yangu yote ya mshahara hata kununua nguo, kusuka yaani kila kitu na anataka tuchange hela tuanze biashara kumbka ni wapenzi tu

No 2,kuna malengo alijiwekea moja wapo ni mwakani aje kwetu apose na atoe mahari. Sasa mpenzi hana kazi ya uhakika nawaza akija nyumbani ataweza kutoa mahari atakayopangiwa au tusubiri akipata kazi ndo tuanze mipango?mwenzangu analazimisha tufanye sa naogopa tusije tukaaibika kwa kulazimisha kitu,na anasema lengo lake moja likishindwa kutimia si ntamsaidia litimie? kweli sijui nifanyeje.

Nisaidien kimawazo.

Ukiona mwanamke anajiuliza maswali mengi hivi, ujue ushaliwa, wewe dada huna lolote ushapata mwingine na huyo unamwona zigo. Mara zote wasichana ndio huwa wa kwanza kulazimisha posa. Wewe ndio itakuwa wa kwanza kusuasua linapokuja swala la posa!
 
sijaona mwingine hata kidog nampenda sana niliyenae.but unadhani msichana mweny akili atalazimisha posa bila kujua kama aliyenae yupo sawa wakat huo,?usipende kujiongelea tuu si kila ke yupo kama unaowafaham wew .
 
Sasa dada angu utapenda mtu ambaye hayupo sawasawa? Unasita nini kama kweli wewe unaakili? Sio napenda kujiongelea kama unavyoonyesha hasira zako. Na ikiwa hatakaa sawasawa kwa zaidi ya miaka 5. Akili zako zitafanyaje? Hapo ina maana mapenzi yako yategemeana na uwezo wake, asipopata hakuna posa si ndio? Wewe dada mwenye akili, si ndio?
 
Kwanza inategemea wewe ni wa dini gani kama ni muislam basi wewe ndo unapanga mahari ila kama ni mkristo basi hapo kazi ipo mbaya zaidi kama wewe ni msukuma basi mpenzi wako atakuwa na kazi nzito maana ng`ombe 50 au zaidi ni hatari sana. Ila kama ni mrangi hata 20,000/= inatosha kabisa kwa mahari.
Kama vipi msadie kumlipia pale atakapopungukiwa
 
golocko, mapnz hayachagui aliyepo sawa au hayupo sawa,kwan weny akli hawafikrii kabla ya kufanya kitu?.huwezi kulazimisha kununua gari wakati hata hela ya baiskeli huna utajiumiza mwenyew.so kaka tunaweza kujipanga kwanza. ndo tukaenda kama weny busara zao walivyonishauri na nikawaelewa.
 
Love is expensive. Hiyo ndiyo gharama fanya nafasi yako mkiachana basi already do your part . Maisha lazima yaende no matter what.. najua kinachokusumbua ni je atakuoa kweli .? Jibu ni probably wanawake tunakasumba mkizidi mwanaume kipato mnaazaga manyanyaso ukikosea ukafanya haya utajutata kutoa hela yako kumpa.... think again "love is expensive sex is easy"

Mtajie msgahara wa uongo punguza kipato chako never give him password zako if possible uwe na akaunti mbili.. ila huyo mwanaume ni kishida
 
golocko, mapnz hayachagui aliyepo sawa au hayupo sawa,kwan weny akli hawafikrii kabla ya kufanya kitu?.huwezi kulazimisha kununua gari wakati hata hela ya baiskeli huna utajiumiza mwenyew.so kaka tunaweza kujipanga kwanza. ndo tukaenda kama weny busara zao walivyonishauri na nikawaelewa.

Una akili sana dadaangu, haya mkajipange kwanza, hata ikifika miaka mitano hamjajipanga. nyie endeleeni kujipanga tu!
 
So far umepata fursa itumie wengne wanalilia fursa kama hz. kama ana nia ya dhati hvyo vingne vinazungumzka. Ukidengua hapa I promise unaweza kukaa zaidi ya miaka 5 bila kupata anaetaka kukuoa tena hata pale utakapokuwa umetaka wewe.

hiyo fursa ukitaka kununua pedi lazima uombe ruhusa wanaoitaman niwachache.

ndugu mtoa mada huyo mwanaume anakutaka kimaslah na ili uamini kataa yeye kukupangia mshahara nakupa week 2 atakuacha nakulalamika wewe ni mjeur unataka kumkalia . navisingizio kibao
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom