Jamani nini cha kufanya maana sielewi

Jamani nini cha kufanya maana sielewi

fedawa

Member
Joined
Dec 16, 2014
Posts
40
Reaction score
7
Salaaam wanaJamiiForums hope wazima.

Mimi ni mwanamke jamani,nina mpenzi wangu naamini ananipenda nami nampenda, mimi nina kazi nae anayo lakini anataka aache sababu hawampi salary yake tangu aanze ana nusu mwaka lakini wamempa mwezi mmoja tu.

No.1,tatizo mpenzi wangu anataka nimwambie matumizi yangu yote ya mshahara hata kununua nguo, kusuka yaani kila kitu na anataka tuchange hela tuanze biashara kumbka ni wapenzi tu

No 2,kuna malengo alijiwekea moja wapo ni mwakani aje kwetu apose na atoe mahari. Sasa mpenzi hana kazi ya uhakika nawaza akija nyumbani ataweza kutoa mahari atakayopangiwa au tusubiri akipata kazi ndo tuanze mipango?mwenzangu analazimisha tufanye sa naogopa tusije tukaaibika kwa kulazimisha kitu,na anasema lengo lake moja likishindwa kutimia si ntamsaidia litimie? kweli sijui nifanyeje.

Nisaidien kimawazo.
 
salaaam wanajf hope mu wazima,,

mim ni ke jaman,nna mpenzi wangu naamin ananipenda nami nampenda ,mim nna kazi nae anayo lakin anataka aache sabab hawampi salary yake tang aanze ana nusu mwaka lakin wamempa mwez mmoja tu.

no.1,tatizo mpenz wang anataka nimwambie
matumizi yangu yote ya mshahara hata kununua nguo,kusuka yani kila kitu,na anataka tuchange hela tuanze biashara kumbka ni wapenz tu,

no 2,kuna malengo alijiwekea moja wapo ni mwakan aje kwetu apose na atoe mahari.sasa mpenzi hana kazi ya uhakika nawaza akija nyumbani ataweza kutoa mahari atakayopangiwa au tusubiri akipata kazi ndo tuanze mipango?mwenzangu analazimisha tufanye sa naogopa tusije tukaaibika kwa kulazimisha kitu,na anasema lengo lake moja likishindwa kutimia si ntamsaidia litimie??kweli sijui nifanyeje nisaidien kimawazo!!

Njoo pm mtoto mzuri! Njoo tuongee taratibu, haya mambo hayahitaji kupiga mayowe! Sawa binti mzuri, hembu njoo Achana na wakware wa hapa JF!
 
Mim naona suala la mwezio kutokuwa na kazi sio tatizo kama anaonyesha jitihada za kufanya biashara, wew mpe moyo wakati akihangaika kutafuta kazi asikae tu ajishughulishe na biashara.

Suala la mahali, wew ni binadam sio bidhaa kwamba unazwa ivo lazima uwaeleze wazazi wako ukwel kuhusu hali ya kifedha ya mwenzio, sasa kama na wew utataka sifa ya kutolewa mali nyingi basi hapo bwana kaka imekula kwake, la msingi wew ndio unajua hali ya mtu uliyemchagua.

pia suala yey kufuatilia matumizi yako hapo ni shida, mkubaliane kuchanga kiasi kila mwezi ila ile akiba yako asifuatilie maana hy niya matumiz yako binafsi kama mwanamke.

ushauri wangu ni huo tu.
 
So far umepata fursa itumie wengne wanalilia fursa kama hz. kama ana nia ya dhati hvyo vingne vinazungumzka. Ukidengua hapa I promise unaweza kukaa zaidi ya miaka 5 bila kupata anaetaka kukuoa tena hata pale utakapokuwa umetaka wewe.
 
pia suala yey kufuatilia matumizi yako hapo ni shida, mkubaliane kuchanga kiasi kila mwezi ila ile akiba yako asifuatilie maana hy niya matumiz yako bin a FSI kama mwanamke.

ushauri wangu ni huo tu.

hajaanza biashara yoyote bado.
 
Hapo kwenye hiyo no 1 hapo mmmmmmmh

Hebu jipe muda unaweza kulia....

Sioni dalili nzuri
 
So far umepata fursa itumie wengne wanalilia fursa kama hz. kama ana nia ya dhati hvyo vingne vinazungumzka. Ukidengua hapa I promise unaweza kukaa zaidi ya miaka 5 bila kupata anaetaka kukuoa tena hata pale utakapokuwa umetaka wewe.

sawa najua ni fursa,bt ndo tupo wapenz anasema malengo yake yasipotimia mim ntamsaidia?ni sawa
 
Mim naona suala la mwezio kutokuwa na kazi sio tatizo kama anaonyesha jitihada za kufanya biashara, wew mpe moyo wakati akihangaika kutafuta kazi asikae tu ajishughulishe na biashara.

Suala la mahali, wew ni binadam sio bidhaa kwamba unazwa ivo lazima uwaeleze wazazi wako ukwel kuhusu hali ya kifedha ya mwenzio, sasa kama na wew utataka sifa ya kutolewa mali nyingi basi hapo bwana kaka imekula kwake, la msingi wew ndio unajua hali ya mtu uliyemchagua.

pia suala yey kufuatilia matumizi yako hapo ni shida, mkubaliane kuchanga kiasi kila mwezi ila ile akiba yako asifuatilie maana hy niya matumiz yako binafsi kama mwanamke.

ushauri wangu ni huo tu.

Ushaur mzur sana, kuna familia zingne znaweka mabint mtaji......
 
ukimtajia mshahara :drama: unaopata na matumizi ujue umeumia mama

mama wacha ratiba ziendelee, hizo kazi zipo tu, sasa wewe subiri apate kazi nzuri huone kama hatakumbuka kukwambia twende home nikatoe pesa, maisha hatua ndugu, hiyo posa hana ndugu? kuhusu matumizi yako si lazima umwambie yote. jipangeni. ONYO: ucheleweshaji wa ndoa ni hatari kwa papuchi yako.
 
No 1 ina mushkeri, vinginevyo maisha ni kusaidiana sharti pawepo na upendo wa dhati baina yenu.
 
Kitendo cha kumfungulia thread inatia doa hayo mapenzi yenu , tena ukizingatia ndiyo bado mpo kiuchumba tu.
Jitafakari unataka nini , na siyo humu jamvini tumekuambia nini.
 
Kitendo cha kumfungulia thread inatia doa hayo mapenzi yenu , tena ukizingatia ndiyo bado mpo kiuchumba tu.
Jitafakari unataka nini , na siyo humu jamvini tumekuambia nini.

mi ni mtu mzima najua kuchambua ushauri mzuri na mbaya so usdhan kila ushauri ntachukua.si kila nnachowaza ni sawa ndo mana weng wanakuja huku kupata diff idea,hope umenipata
 
kwa akili zako zilivyo wewe..kitu nlichojihakikishia ni kuwa hata kama jamaa angekuwa na kazi nzuri yenye mshahara mnono..INGEFIKIA KIPINDI KAFUKUZWA AU KAFILISIKA...NINA UHAKIKA 100% UTAMKIMBIA WEWE
 
Alaf tunatafuta sababu kwnn ndoa sikuhizi hazidumu wanawake wenyewe hawa
 
Mmh... humu kumbe kuna watu wanafiki na vigeugeu hivi?

Yani mtu anajitune kuchangia kutokana na situation ya mleta mada ila sio kihalisia.
 
mpaka siri za ndani umekuja kuzitoa humu JF haya mama ngoja tuone watakusaidia nini
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom