Neylu
JF-Expert Member
- May 28, 2012
- 2,938
- 1,842
mnhhhhhh
Umeanza...! Sasa unaguna nini?
mnhhhhhh
mbona umebadili cha mwanzo?
I LOVE U
umri ni namba tu jamani,karibu
Umeanza...! Sasa unaguna nini?
Status changes with situationfrom 40 years available
to muathirika...
nashangaa kuona uko sokoni
huku mimi nikijiambia uko home unanisubiri
kumbe unaposwa huku..
hii dunia hii...
Hahahaaa.... Aaah, nshakushtukia wewe hueleweki..!
Unanitesa kwa sababu mi ndio nilieanza kukwambia I LOVE YOU..!
Sasa leo nami nimepata wa kuanza kuniambia I LOVE YOU... Hakuna kuremba..!
kweli naona hakuna kuremba...
fasta fasta
Na mie naruhusiwa kuku-pm? Niko serious.
Hahahaaaa..... Nimelipenda tangazo lako..! Mi nina miaka 57, nakufaa?
lol hii kali 57 years?? itapita kweli au itakuwa imejaa kutu kama muda wote ilikuwa haitumiki ha ha ha ha
Miaka 57 bado unatafuta kuolewa tu...
nahitaji mganga mpya
hebu nielekeze fasta