kijana mkimya
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 277
- 121
Hii hali inanihuzunisha sana. mwaka wa tatu sasa nataka kuoa lakini inashindikana.
Kama sijapata kikwazo toka kwa wazai basi nitapata kwa binti.
Mara nne nilikuwa nimemaliza process zote za kufanya harusi lakini siku ya harusi mabinti wanakuwa wanakimbia.
Harusi inaahirishwa na hapo ndo unakuwa mwisho. mara nyingine wazazi wa binti wanakuwa hawakupendezwa na mimi.
Mara nyingine wazazi wanakubali ila binti anakuwa hanipendi.
Sasa wakuu sasa nimetokea kumpenda mdogo wa rafiki yangu, nimemueleza hisia zangu lakini hajanijibu chochote yapata wiki sasa.
Inafikia kipindi nakata tamaa nahisi ni yaleyale ya kukataliwa.
Mimi ni kijana wa dini ninamaisha yangu japo sio tajiri lakini nina maisha ambayo watu wengi wanayatamani.
Wakuu nifanye nini? Sasa nimepoteza Imani kabisa.