yassird200
JF-Expert Member
- Jan 2, 2025
- 971
- 1,700
Si useme ulikuwa unapima faith yake tu mwanaume ukakosa kitu cha kuweka hapo? Ama ukane useme shemeji anatabia mbaya huo ni uongo?
Ongezea hapo na House girlTushukuru wanawake wengi kiuchumi hawapo vizuri.
Kama sheria zetu zingekuwa nzuri ulitakiwa utalakiwe, uondoke nyumbani umwachie watoto kisha unatoa matumizi kila mwezi bila kukosa.
Kama ulitaka kucheat wanawake kibao mitaani... Wanaume waliooa
FORBIDDEN ZONES
-ndugu wa mke
-rafiki wa mke
-Jirani
Wanawake wanaongea saana.
Yeah amejihami mapemaHuyu shemeji yske kajiongeza alihisi wana mtega ikabidi akaseme kwa Dada yake ili kunusulu ugali wake.
Naongea tu na watoto. Kila nikimwambia tuongee anakaa kimya na kuendelea kulia. Sasa ndio nimekuja kuomba ushauri kwenu. Najuwa humu kuna watu wengi huwenda kuna mtu kapitia changa mto kama yangu . Karibuni wote kwa ushauri.
achana nae ikiwezekana timua baki na watoto wako tafuta mwingine au fukuza shemeji yeye anainjoi maisha anashiba anawapelekea wadau wanakamua tuNimekuwa naishi na mdogo wa mke wangu. Yaani shemeji yangu amekuwa akiishi kwangu yeye na mtoto wake kwa zaidi ya miaka miwili. Huyu shemeji yangu alikuwa ameolewa ndowa ilivyo mshinda akahamia kwa dada yake yeye na mwanaye.
Sasa imefika mahali nikawa najiuliza nitaendelea kutuza familia ya mtu mwingine bila faida yoyote mpaka lini? Sasa siku moja nikajitia uchizi nikasema kwa vile nahudumia kila kitu basi angalau nimuombe huyu shemeji mapenzi ili nipoze machungu ya kulea mama na mtoto wa mtu mwigine.
Basi nilivyo tu jaribu shemeji akakasirika akaenda kumwambia dada yake . Sasa dada yake anasiku mbili ni kulia tu haongei na mimi hata kidogo . Watoto wnauliza baba umemfanya nini mama mbona analia sana, nashindwa cha kusema. Na mimi nimeamuwa nikae kimya siongei na shemeji wala mke wangu .
Naongea tu na watoto. Kila nikimwambia tuongee anakaa kimya na kuendelea kulia. Sasa ndio nimekuja kuomba ushauri kwenu. Najuwa humu kuna watu wengi huwenda kuna mtu kapitia changa mto kama yangu . Karibuni wote kwa ushauri.
Wewe ni mburula wa kutupwa. Nenda ukweni ukajieleze yaishe. Ila kuna watu mmna ujasiri kuliko shetani aisee.Nimekuwa naishi na mdogo wa mke wangu. Yaani shemeji yangu amekuwa akiishi kwangu yeye na mtoto wake kwa zaidi ya miaka miwili. Huyu shemeji yangu alikuwa ameolewa ndowa ilivyo mshinda akahamia kwa dada yake yeye na mwanaye.
Sasa imefika mahali nikawa najiuliza nitaendelea kutuza familia ya mtu mwingine bila faida yoyote mpaka lini? Sasa siku moja nikajitia uchizi nikasema kwa vile nahudumia kila kitu basi angalau nimuombe huyu shemeji mapenzi ili nipoze machungu ya kulea mama na mtoto wa mtu mwigine.
Basi nilivyo tu jaribu shemeji akakasirika akaenda kumwambia dada yake . Sasa dada yake anasiku mbili ni kulia tu haongei na mimi hata kidogo . Watoto wnauliza baba umemfanya nini mama mbona analia sana, nashindwa cha kusema. Na mimi nimeamuwa nikae kimya siongei na shemeji wala mke wangu .
Naongea tu na watoto. Kila nikimwambia tuongee anakaa kimya na kuendelea kulia. Sasa ndio nimekuja kuomba ushauri kwenu. Najuwa humu kuna watu wengi huwenda kuna mtu kapitia changa mto kama yangu . Karibuni wote kwa ushauri.
😁😁😁Endelea kukaza kama CDM , uki zubaa watakuoa kama Chauma walivyo olewa
Hongera weee ni mwanaume kamili. Tena wala usiwe na presha wacha mke anune sii ujinga wake mwenyewe kuruhusu mdogo wake aje hapo kwenu.Nimekuwa naishi na mdogo wa mke wangu. Yaani shemeji yangu amekuwa akiishi kwangu yeye na mtoto wake kwa zaidi ya miaka miwili. Huyu shemeji yangu alikuwa ameolewa ndowa ilivyo mshinda akahamia kwa dada yake yeye na mwanaye.
Sasa imefika mahali nikawa najiuliza nitaendelea kutuza familia ya mtu mwingine bila faida yoyote mpaka lini? Sasa siku moja nikajitia uchizi nikasema kwa vile nahudumia kila kitu basi angalau nimuombe huyu shemeji mapenzi ili nipoze machungu ya kulea mama na mtoto wa mtu mwigine.
Basi nilivyo tu jaribu shemeji akakasirika akaenda kumwambia dada yake . Sasa dada yake anasiku mbili ni kulia tu haongei na mimi hata kidogo . Watoto wnauliza baba umemfanya nini mama mbona analia sana, nashindwa cha kusema. Na mimi nimeamuwa nikae kimya siongei na shemeji wala mke wangu .
Naongea tu na watoto. Kila nikimwambia tuongee anakaa kimya na kuendelea kulia. Sasa ndio nimekuja kuomba ushauri kwenu. Najuwa humu kuna watu wengi huwenda kuna mtu kapitia changa mto kama yangu . Karibuni wote kwa ushauri.
Tulishakuwa na dada wa kazi wa 2000....nikaona siwezi kuishi naye kwa amani.Ongezea hapo na House girl
Well said.FORBIDDEN ZONES
-ndugu wa mke
-rafiki wa mke
-Jirani
Wanawake wanaongea saana.