Jamani nimeyakoroga naomba ushauri

Jamani nimeyakoroga naomba ushauri

Nimekuwa naishi na mdogo wa mke wangu. Yaani shemeji yangu amekuwa akiishi kwangu yeye na mtoto wake kwa zaidi ya miaka miwili. Huyu shemeji yangu alikuwa ameolewa ndowa ilivyo mshinda akahamia kwa dada yake yeye na mwanaye.

Sasa imefika mahali nikawa najiuliza nitaendelea kutuza familia ya mtu mwingine bila faida yoyote mpaka lini? Sasa siku moja nikajitia uchizi nikasema kwa vile nahudumia kila kitu basi angalau nimuombe huyu shemeji mapenzi ili nipoze machungu ya kulea mama na mtoto wa mtu mwigine.

Basi nilivyo tu jaribu shemeji akakasirika akaenda kumwambia dada yake . Sasa dada yake anasiku mbili ni kulia tu haongei na mimi hata kidogo . Watoto wnauliza baba umemfanya nini mama mbona analia sana, nashindwa cha kusema. Na mimi nimeamuwa nikae kimya siongei na shemeji wala mke wangu .

Naongea tu na watoto. Kila nikimwambia tuongee anakaa kimya na kuendelea kulia. Sasa ndio nimekuja kuomba ushauri kwenu. Najuwa humu kuna watu wengi huwenda kuna mtu kapitia changa mto kama yangu . Karibuni wote kwa ushauri.
Huna akili

***
Siyo tu kumkosea heshima mkeo, umeamua kumuaibisha kwa ndugu zake, hata akikusamehe hiyo aibu haifutiki, wewe ni wa hovyo sana!
 
Safirini Nendeni Mapumzikoni Nyie Watatu Tofauti Na Hapo Nyumbani,,Waambie Mnaenda Kuzungumzia Hilo Jambo,,Wakikubali Wakafika Huko Ulikowaandalia Jitahidi Kwa Ushawishi Wa Namna Yoyote Iwe Hata Kwa Kuroga Uwakaze Kwa Pamoja(Threesome),,Ukitoka Hapo Ondoa Huyo Mdogo Mtu Hapo Nyumbani Kwako...Akajitafute Na Yeye,,Then Endelea Na Malezi Ya Familia,,Watakaa Kimya Maisha Yao Yote Kwa Kuwa Wakisema Tu Tukio Ulilowafanyia Watakuwa Wanajidhalilisha Wao Na Familia Yao...
 
Nimekuwa naishi na mdogo wa mke wangu. Yaani shemeji yangu amekuwa akiishi kwangu yeye na mtoto wake kwa zaidi ya miaka miwili. Huyu shemeji yangu alikuwa ameolewa ndowa ilivyo mshinda akahamia kwa dada yake yeye na mwanaye.

Sasa imefika mahali nikawa najiuliza nitaendelea kutuza familia ya mtu mwingine bila faida yoyote mpaka lini? Sasa siku moja nikajitia uchizi nikasema kwa vile nahudumia kila kitu basi angalau nimuombe huyu shemeji mapenzi ili nipoze machungu ya kulea mama na mtoto wa mtu mwigine.

Basi nilivyo tu jaribu shemeji akakasirika akaenda kumwambia dada yake . Sasa dada yake anasiku mbili ni kulia tu haongei na mimi hata kidogo . Watoto wnauliza baba umemfanya nini mama mbona analia sana, nashindwa cha kusema. Na mimi nimeamuwa nikae kimya siongei na shemeji wala mke wangu .

Naongea tu na watoto. Kila nikimwambia tuongee anakaa kimya na kuendelea kulia. Sasa ndio nimekuja kuomba ushauri kwenu. Najuwa humu kuna watu wengi huwenda kuna mtu kapitia changa mto kama yangu . Karibuni wote kwa ushauri.
Eti ili nipoze machungu,wewe jamaa hujielewi kabisa yaani umetuaibisha wanaume wote tuonekane vichaa.
Kwa hatua mambo yalikofikia hakuna ushauri utakaokufaa zaidi ya kusubiria tu maamuzi ya huyo mkeo atakachoamua kama kurudi kwao au abaki na wewe kwa huzuni.
Hatukatai kuna matamanio ya kibinadamu wakati mwingine hutokea kama huyo shemeji ameanza yeye mitego ukashindwa kujizuia ila huwa hawaombi hivyo kama ulivyoomba wewe kwa kumchana makavu live,kuna njia za ushawishi unazitengeneza kisha anajiingiza mwenyewe mtegoni inatokea bila kumkamia na bila kujiandaa.
Yaani hapo uombe Mungu hayo mambo asiende kuwashirikisha wazazi utaabika vibaya sana na mtaa mzima watakuwa wanakucheka na kukuzomea utatamani dunia ipasuke uingie ardhini.
 
Shusha hizi nondo kwa mkeo ata kama analia, kama huna ujasiri lewa kidogo:-​
  • Nimekuoa wewe na umenipatia watoto, na sijao mdogo wako na mtoto wake, kutokana na hali ngumu ya uchumi anatakiwa aondoke arudi kwa mumewe au wazazi, maisha ni magumu. Aende alipopeleka mboga.​
  • Sitaki nimuone hapa nyumbani, asije kuniharibia ndoa yangu au kuwafanya watoto wangu wakose malezi ya wazazi.​
  • Maisha ya ndoa ni mke na mme, na si vinginevyo.​
  • Nateseka sana ili nikulishe wewe na watoto wangu, mvae vizuri, wasome vizuri, n.k kwa hiyo siko tayari kuhudumia kijiji au ndugu yoyote katika jasho langu.​
  • Unipe majibu anaondoka lini?​
Baada ya hapo usicheke, kaa kimya; yeye mwenyewe atakuja kukuomba msamaha.​
 
Asante
 
Uzi ufungwe.
 
Show that you don't care, ukibanwa na wazee waambie hukua na lengo umefanya makusudi ili asepe
Duh, kuna majitu humu ndani yamebobea! Ona ushauri huu! Wewe mwamba umebobea kwenye kuchukua shemeji zako!
 
Nimekuwa naishi na mdogo wa mke wangu. Yaani shemeji yangu amekuwa akiishi kwangu yeye na mtoto wake kwa zaidi ya miaka miwili. Huyu shemeji yangu alikuwa ameolewa ndowa ilivyo mshinda akahamia kwa dada yake yeye na mwanaye.

Sasa imefika mahali nikawa najiuliza nitaendelea kutuza familia ya mtu mwingine bila faida yoyote mpaka lini? Sasa siku moja nikajitia uchizi nikasema kwa vile nahudumia kila kitu basi angalau nimuombe huyu shemeji mapenzi ili nipoze machungu ya kulea mama na mtoto wa mtu mwigine.

Basi nilivyo tu jaribu shemeji akakasirika akaenda kumwambia dada yake . Sasa dada yake anasiku mbili ni kulia tu haongei na mimi hata kidogo . Watoto wnauliza baba umemfanya nini mama mbona analia sana, nashindwa cha kusema. Na mimi nimeamuwa nikae kimya siongei na shemeji wala mke wangu .

Naongea tu na watoto. Kila nikimwambia tuongee anakaa kimya na kuendelea kulia. Sasa ndio nimekuja kuomba ushauri kwenu. Najuwa humu kuna watu wengi huwenda kuna mtu kapitia changa mto kama yangu . Karibuni wote kwa ushauri.
Wewe dogo itoshe kusema wewe ni kapumbavu! Hatuanzagi hivyo, wewe ulikurupuka ulitakiwa uanzie mbali kwanza kwa utani utani mwisho wa siku ungekuwa ki masikhara! Sasa umelikoroga kalinywe mwenyewe usitusumbue hapa!
 
Nimekuwa naishi na mdogo wa mke wangu. Yaani shemeji yangu amekuwa akiishi kwangu yeye na mtoto wake kwa zaidi ya miaka miwili. Huyu shemeji yangu alikuwa ameolewa ndowa ilivyo mshinda akahamia kwa dada yake yeye na mwanaye.

Sasa imefika mahali nikawa najiuliza nitaendelea kutuza familia ya mtu mwingine bila faida yoyote mpaka lini? Sasa siku moja nikajitia uchizi nikasema kwa vile nahudumia kila kitu basi angalau nimuombe huyu shemeji mapenzi ili nipoze machungu ya kulea mama na mtoto wa mtu mwigine.

Basi nilivyo tu jaribu shemeji akakasirika akaenda kumwambia dada yake . Sasa dada yake anasiku mbili ni kulia tu haongei na mimi hata kidogo . Watoto wnauliza baba umemfanya nini mama mbona analia sana, nashindwa cha kusema. Na mimi nimeamuwa nikae kimya siongei na shemeji wala mke wangu .

Naongea tu na watoto. Kila nikimwambia tuongee anakaa kimya na kuendelea kulia. Sasa ndio nimekuja kuomba ushauri kwenu. Najuwa humu kuna watu wengi huwenda kuna mtu kapitia changa mto kama yangu . Karibuni wote kwa ushauri.
Huyo binti huenda alikuwa anaumia kuwaona pamoja, hivyo alikuwa anatafuta nafasi ya kuwafarakinisha na hatimaye ukajaa kwenye mfumo.
 
Endelea kuuchuna hivyo hivyo ila matumizi Kama kawaida,usikate tamaa mambo yakitulia jaribu tena ipo siku utafanikiwa,huwezi kulea mkojo wa mtu mwingine bila malipo. Nakutakia ushindi.
 
Nimekuwa naishi na mdogo wa mke wangu. Yaani shemeji yangu amekuwa akiishi kwangu yeye na mtoto wake kwa zaidi ya miaka miwili. Huyu shemeji yangu alikuwa ameolewa ndowa ilivyo mshinda akahamia kwa dada yake yeye na mwanaye.

Sasa imefika mahali nikawa najiuliza nitaendelea kutuza familia ya mtu mwingine bila faida yoyote mpaka lini? Sasa siku moja nikajitia uchizi nikasema kwa vile nahudumia kila kitu basi angalau nimuombe huyu shemeji mapenzi ili nipoze machungu ya kulea mama na mtoto wa mtu mwigine.

Basi nilivyo tu jaribu shemeji akakasirika akaenda kumwambia dada yake . Sasa dada yake anasiku mbili ni kulia tu haongei na mimi hata kidogo . Watoto wnauliza baba umemfanya nini mama mbona analia sana, nashindwa cha kusema. Na mimi nimeamuwa nikae kimya siongei na shemeji wala mke wangu .

Naongea tu na watoto. Kila nikimwambia tuongee anakaa kimya na kuendelea kulia. Sasa ndio nimekuja kuomba ushauri kwenu. Najuwa humu kuna watu wengi huwenda kuna mtu kapitia changa mto kama yangu . Karibuni wote kwa ushauri.
'"Sasa imefika mahali nikawa najiuliza nitaendelea kutuza familia ya mtu mwingine bila faida yoyote mpaka lini? Sasa siku moja nikajitia uchizi nikasema kwa vile nahudumia kila kitu basi angalau nimuombe huyu shemeji mapenzi ili nipoze machungu ya kulea mama na mtoto wa mtu mwigine.'"
 
Nimekuwa naishi na mdogo wa mke wangu. Yaani shemeji yangu amekuwa akiishi kwangu yeye na mtoto wake kwa zaidi ya miaka miwili. Huyu shemeji yangu alikuwa ameolewa ndowa ilivyo mshinda akahamia kwa dada yake yeye na mwanaye.

Sasa imefika mahali nikawa najiuliza nitaendelea kutuza familia ya mtu mwingine bila faida yoyote mpaka lini? Sasa siku moja nikajitia uchizi nikasema kwa vile nahudumia kila kitu basi angalau nimuombe huyu shemeji mapenzi ili nipoze machungu ya kulea mama na mtoto wa mtu mwigine.

Basi nilivyo tu jaribu shemeji akakasirika akaenda kumwambia dada yake . Sasa dada yake anasiku mbili ni kulia tu haongei na mimi hata kidogo . Watoto wnauliza baba umemfanya nini mama mbona analia sana, nashindwa cha kusema. Na mimi nimeamuwa nikae kimya siongei na shemeji wala mke wangu .

Naongea tu na watoto. Kila nikimwambia tuongee anakaa kimya na kuendelea kulia. Sasa ndio nimekuja kuomba ushauri kwenu. Najuwa humu kuna watu wengi huwenda kuna mtu kapitia changa mto kama yangu . Karibuni wote kwa ushauri.
Hizi zinaitwa akili za kitoto
 
joseph2 roho mbaya mwee, kwamba uo msaada ulompatia ndio umnajisi mdogo wa mkeo ? Kwamba we tajiri sana so umeamua kudhalilisha wasio nacho?
 
Back
Top Bottom