Jamani nimeyakoroga naomba ushauri

Jamani nimeyakoroga naomba ushauri

Pole sana mkuu yatakwisha..dhambi ya usalitj ni mbaya sana...Kuna mawili, umruke shemeji Yako kwamba hujamuambia hizo stories au ujishushe mtoe mkeo out, mwambie achukue anachokitaka, then nendeni hoteli nzuri sana mfurahie maisha hata siku 2 au 3 then umuahidi kwamba hiyo hali haitawahi kujirudia....
Yani akubali kuwa kamtongoza shemeji hapo Ni Kuruka tu na Kukataa Wambie shemeji ndio alianza Mitego mitego mimi Nkamuambia hapana ndio akawahi Kutoa taarifa there after Mchane arudi kwa Msela wake
 
Wewe ni mpumbavu!
Kwa vile umeshayakanyaga, fanya hivi kamwe usimuombe mkeo wala shemeji yako msamaha,,,,, mwanaume kamili haombi msamaha , hata kama alikukuta juu ya kifua cha mdogo wake kaza hivo hivo !

Note ! Endelea kutoa matumizi ya home kama kawaida , ikiwezekana zidisha, badili rtb zako kuwa unpredictable, usiwe unashinda home Mara kwa mara,,,, sometimes rudi ukiwa umekula kabisa oga lala,,,, ukiweza rudi za vijizawadi vya wanao wape pita hivi,,, kama una katoto under 3yrs huyo ndo mfariji wako ukiwa home cheza nako basi,,,,yani dili na mambo yako !

Chelewa chelewa kurudi home bila taarifa, endelea tena na tena ! Mwenyewe atajirudi, yeye ndio atakuomba msamaha, then rudi kama zamani mkaripie kwa onyo kali, sio kila unachoambiwa ni kweli ! Kingine tafuta namna huyo mke wa mtu aondoke hapo kwako
 
Unaishi na familia ya mtu mwingine huku roho inakuuma, unafikiria kufungua mdomo ili wasepe unafikiria wife atachukia ndoa itatetereka.

"Ndoa ni maigizo yasiyo na hela"
Dizasta vina.
 
Bro ulipokosea ni kukiri kuwa umemtongoza.
Ungetakiwa umruke futi mia.

Na pia usitongoze kwa sim wala sms.
Mkutane somewhere face to face.
 
Nimekuwa naishi na mdogo wa mke wangu. Yaani shemeji yangu amekuwa akiishi kwangu yeye na mtoto wake kwa zaidi ya miaka miwili. Huyu shemeji yangu alikuwa ameolewa ndowa ilivyo mshinda akahamia kwa dada yake yeye na mwanaye.

Sasa imefika mahali nikawa najiuliza nitaendelea kutuza familia ya mtu mwingine bila faida yoyote mpaka lini? Sasa siku moja nikajitia uchizi nikasema kwa vile nahudumia kila kitu basi angalau nimuombe huyu shemeji mapenzi ili nipoze machungu ya kulea mama na mtoto wa mtu mwigine.

Basi nilivyo tu jaribu shemeji akakasirika akaenda kumwambia dada yake . Sasa dada yake anasiku mbili ni kulia tu haongei na mimi hata kidogo . Watoto wnauliza baba umemfanya nini mama mbona analia sana, nashindwa cha kusema. Na mimi nimeamuwa nikae kimya siongei na shemeji wala mke wangu .

Naongea tu na watoto. Kila nikimwambia tuongee anakaa kimya na kuendelea kulia. Sasa ndio nimekuja kuomba ushauri kwenu. Najuwa humu kuna watu wengi huwenda kuna mtu kapitia changa mto kama yangu . Karibuni wote kwa ushauri.

Vijana wa siku hizi hata kutongoza hujui, yaani unamwambia naomba penzi? Andaa mazingira huyo shemeji yako angeingia kwenye wavu mwenyewe tu, ila na wewe malaya nyoko sana, hadi shemeji anakaa kwako unataka kula, nyoko kabisa
 
Kama watu wenyewe mchango kwenye uchumi ni ziro utafanyaje.
 
Nimekuwa naishi na mdogo wa mke wangu. Yaani shemeji yangu amekuwa akiishi kwangu yeye na mtoto wake kwa zaidi ya miaka miwili. Huyu shemeji yangu alikuwa ameolewa ndowa ilivyo mshinda akahamia kwa dada yake yeye na mwanaye.

Sasa imefika mahali nikawa najiuliza nitaendelea kutuza familia ya mtu mwingine bila faida yoyote mpaka lini? Sasa siku moja nikajitia uchizi nikasema kwa vile nahudumia kila kitu basi angalau nimuombe huyu shemeji mapenzi ili nipoze machungu ya kulea mama na mtoto wa mtu mwigine.

Basi nilivyo tu jaribu shemeji akakasirika akaenda kumwambia dada yake . Sasa dada yake anasiku mbili ni kulia tu haongei na mimi hata kidogo . Watoto wnauliza baba umemfanya nini mama mbona analia sana, nashindwa cha kusema. Na mimi nimeamuwa nikae kimya siongei na shemeji wala mke wangu .

Naongea tu na watoto. Kila nikimwambia tuongee anakaa kimya na kuendelea kulia. Sasa ndio nimekuja kuomba ushauri kwenu. Najuwa humu kuna watu wengi huwenda kuna mtu kapitia changa mto kama yangu . Karibuni wote kwa ushauri.
Dah alafu kuna wajinga hapa Jf nikikomenti wanasema eti sijielewi sasa huyu shababi mtasemaje sasa
 
Mi mwenzio kalikuja jashemeni siku kwanza tukasalimiana kwa hug yaani hug hug....nikaona ahaa Kuna Bluetooth conneed hapa..basi siku nyingine kakaja tena kakanikuta nipo pekeyangu...nikasalimiana Nako kwa hug mnato kama mwanzo...aah nikakuta Kako konected full bar...nikapeleka mikono nyash kakaanza kuguna kanasema hakajawahi jua mwanaume nikaona hapa ni kaxi nyingine nikaamua kukaacha...hee kosa kakaenda knwambia Maza wa demu wangu her ..case still on
 
Nimekuwa naishi na mdogo wa mke wangu. Yaani shemeji yangu amekuwa akiishi kwangu yeye na mtoto wake kwa zaidi ya miaka miwili. Huyu shemeji yangu alikuwa ameolewa ndowa ilivyo mshinda akahamia kwa dada yake yeye na mwanaye.

Sasa imefika mahali nikawa najiuliza nitaendelea kutuza familia ya mtu mwingine bila faida yoyote mpaka lini? Sasa siku moja nikajitia uchizi nikasema kwa vile nahudumia kila kitu basi angalau nimuombe huyu shemeji mapenzi ili nipoze machungu ya kulea mama na mtoto wa mtu mwigine.

Basi nilivyo tu jaribu shemeji akakasirika akaenda kumwambia dada yake . Sasa dada yake anasiku mbili ni kulia tu haongei na mimi hata kidogo . Watoto wnauliza baba umemfanya nini mama mbona analia sana, nashindwa cha kusema. Na mimi nimeamuwa nikae kimya siongei na shemeji wala mke wangu .

Naongea tu na watoto. Kila nikimwambia tuongee anakaa kimya na kuendelea kulia. Sasa ndio nimekuja kuomba ushauri kwenu. Najuwa humu kuna watu wengi huwenda kuna mtu kapitia changa mto kama yangu . Karibuni wote kwa ushauri.
We mjinga sana

Sasa fanya hivi.....
1. Hukijui hicho kitu kwamba ulitongoza mdogo wake. Hakikisha unakataa. Itakuwa ni aibu na fedheha kubwa kwako na watoto wako. Watakudharau daima. KATAAA.
2. Muulize mdogo mtu, yaani shemeji yako. MBONA DADA YAKO ANALIA TU TOKA JUZI HATAKI KUNAMBIA KINACHOMSIBU. HEBU MUULIZE NINI KIMEMSIBU. Wakati unamuuliza hakikisha unamuuliza mbele ya watoto wenu ili kuwe na ushahidi ulichukua hatua za kujua nini umefanya.
3. Akijibu, kwani wewe hujui nini kimetokea. Mwambie hujui ndio maana unamuulizia. Akijibu nilimwambia ulivyofanya, mwambie, SHEMEJI UMECHANGANYIWA au UNA LENGO LA KUVURUGA FAMILIA YANGU. Yaani mimi nifanye huo upuuzi, kama nataka hivyo si ningetafuta wanawake mtaani huko.
4. Ukiona hatua imefikia hapo, mtafute mshenga wenu au baba mkwe. Mwambie chokochoko inayoanza kujitokeza hapo nyumbani, hata haujui shemeji yako ana lengo gani. Kama mnashibana na bestman wako mwambie ukweli. Kama hamshibani kausha.

Baada ya hapo, mengine yaendelee.

Lengo hapa ni kuokoa ndoa yako sio kuharibu. Shemeji ni mpitaji tu.
 
Eti ili nipoze machungu,wewe jamaa hujielewi kabisa yaani umetuaibisha wanaume wote tuonekane vichaa.
Kwa hatua mambo yalikofikia hakuna ushauri utakaokufaa zaidi ya kusubiria tu maamuzi ya huyo mkeo atakachoamua kama kurudi kwao au abaki na wewe kwa huzuni.
Hatukatai kuna matamanio ya kibinadamu wakati mwingine hutokea kama huyo shemeji ameanza yeye mitego ukashindwa kujizuia ila huwa hawaombi hivyo kama ulivyoomba wewe kwa kumchana makavu live,kuna njia za ushawishi unazitengeneza kisha anajiingiza mwenyewe mtegoni inatokea bila kumkamia na bila kujiandaa.
Yaani hapo uombe Mungu hayo mambo asiende kuwashirikisha wazazi utaabika vibaya sana na mtaa mzima watakuwa wanakucheka na kukuzomea utatamani dunia ipasuke uingie ardhini.
Huyu shemeji yske kajiongeza alihisi wana mtega ikabidi akaseme kwa Dada yake ili kunusulu ugali wake.
 
Nimekuwa naishi na mdogo wa mke wangu. Yaani shemeji yangu amekuwa akiishi kwangu yeye na mtoto wake kwa zaidi ya miaka miwili. Huyu shemeji yangu alikuwa ameolewa ndowa ilivyo mshinda akahamia kwa dada yake yeye na mwanaye.

Sasa imefika mahali nikawa najiuliza nitaendelea kutuza familia ya mtu mwingine bila faida yoyote mpaka lini? Sasa siku moja nikajitia uchizi nikasema kwa vile nahudumia kila kitu basi angalau nimuombe huyu shemeji mapenzi ili nipoze machungu ya kulea mama na mtoto wa mtu mwigine.

Basi nilivyo tu jaribu shemeji akakasirika akaenda kumwambia dada yake . Sasa dada yake anasiku mbili ni kulia tu haongei na mimi hata kidogo . Watoto wnauliza baba umemfanya nini mama mbona analia sana, nashindwa cha kusema. Na mimi nimeamuwa nikae kimya siongei na shemeji wala mke wangu .

Naongea tu na watoto. Kila nikimwambia tuongee anakaa kimya na kuendelea kulia. Sasa ndio nimekuja kuomba ushauri kwenu. Najuwa humu kuna watu wengi huwenda kuna mtu kapitia changa mto kama yangu . Karibuni wote kwa ushauri.
Umeingizwa kwenye mfumo mzinzi wewe.Atakuwa alishamwambiaga dada yake wewe ni malaya kwa jinsi unavyo mtazamaga.Sasa ndiyo akaenda kumthibitishia. Ili ndoa yenu ipone ,Lazima shemeji yako ahame(awapishe) hapo nyumbani.Kwa sababu siyo tu kwamba hofu ya mkeo itaendelea kuwepo ila lazima shetani atakurudisha tena kwa shemeji kuishi hapo kwenu wote.

Tamaa ya mwili ina nguvu sana usipofunguka fikra
 
Back
Top Bottom