Jamani nimetapeliwa

Pole mkuu mtakubaliana na mm , kwa sasa mm niliekataa...kabisa !! Kuhusu kuamin ...mawasiliano na mtu nisiyemjua !! Halafu eti akufadhili kirahic tu hiyo haipo

sent from toyota Allex
Ni ukweli hakika
 
Baadhi ya watu huamini kila kitu ni kweli kwasababu moja tu,

KIMEANDIKWA /KIPO KWENYE MTANDAO
 
Tesha

Mena


‍♂️
‍♂️
‍♂️
‍♂️
 
Hivi kuna watu bado wanaibiw kwa hii style jamani?
 
Aksante
 
subiri atakurudishia pesa zako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pesa yangu mtu kuipata ni kazi kweli, jamaa walinitumia picha zao na kuniambia walichoniambia mwisho wakanipigia mchana muda wa kula simu ya ofisini hawakunikuta wakaacha maangizo nitimize tulichoongea, kurudi nikawapigia akapokea mzungu tukaongea namvuta baadae nikamwambia Mimi ni mtanzania wa Dar Es Salaam na wewe ni mzungu wa Nigeria mkazi wa South Africa tutafutane tena, ikawa mwisho wa mawasiliano

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana na ninakupongeza kwa kuwa na upendo kiasi ukatamani na mtu mwingine isije kumtokea yaliyokutokea..
Hao wanaosema umetapeliwa kijinga ni watu wasio na upeo mzuri wa kufikiria,maana bado watatapeliwa wengine wengi ila kwa kuwa umetoa hizi taarifa Kuna watakaojifunza kupitia wewe na utakuwa umepunguza idadi ya watakao tapeliwa..
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…