Zyamwelele
JF-Expert Member
- Aug 5, 2013
- 405
- 153
Habarini wakuu!
Nimeenda kununua gesi mtungi wa kg 15 bei nimeambiwa tsh 61,000, wakati nilijiandaa na tsh 54,000.
Sasa wakuu hiyo ndo bei halali iliyotolewa na mamlaka husika au nimeibiwa?
Kama ni bei elekezi imeanza kutumika toka tarehe gani na mwezi upi?
Ilitolewa taarifa kwa umma au imeanza kutumika kimyakimya?
Mwenyekujua tafadhali tufahamishane!