chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,301
- 45,092
Tetesi
1.Naskia una sura mbaya mpaka ukijiangalia kwenye kioo kinaandika Please wait..
2.Dada zako ni wabaya hadi mmeweka tangazo getini eti oa m1 upate wa2 bure.
3.Wewe ni mweus hadi ukibeba mtoto anasinzia akizani giza limeingia
4.Kwenu mko wengi hadi mtoto wa mwisho anaitwa etc
5.Damu yako tamu mpaka mbu huja na vitafunio
6.Kwenu mko wengi mpaka babako akiingia anasema 'hamjambo wananchi'
7.Kwenu kuchafu mpaka inzi na mende huvaa malapa. kwel au wanakucngizia.?
Nyingine!
Acha mzaha! Please! Nahitaji Romance Kutoka Kwako, tena Kwa Mahaba yote!. Sio siri napenda sana jinsi ulivyo, na amsha amsha yako, mara umeninyonya, mara umenilamba, mara unibanie meno, mara unipe ulimi Kiulaini yaani Daah! nadata Mwenzako...
Loh!! Jamani mpaka napata
ugonjwa wa moyo pale unaponiacha
Ni mimi Mpenzi wako
MSWAKI
Piga Mswaki uone ladha yake!
chezea mswak ww!!?
Madaktari wa meno na kinywa wanashauri kupiga mswaki mara umalizapo kila mlo.
Hahahahahahaha!