Humble African
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 4,781
- 14,439
Kwenu wachoyo hadi mkimeza mate mnajificha....
Makubwa haya tena!!
Kwenu wachoyo hadi mkimeza mate mnajificha....
Demu wako mwembamba mpaka ukienda nae disco au club wanakuzuia mlangon na kukwambia please hatuingii na miwa.
Mashine ya demu wangu inamavuzi mengi kuiona lazima uwimulike na tochi.
Tetesi
1.Naskia una sura mbaya mpaka ukijiangalia kwenye kioo kinaandika Please wait..
2.Dada zako ni wabaya hadi mmeweka tangazo getini eti oa m1 upate wa2 bure.
3.Wewe ni mweus hadi ukibeba mtoto anasinzia akizani giza limeingia
4.Kwenu mko wengi hadi mtoto wa mwisho anaitwa etc
5.Damu yako tamu mpaka mbu huja na vitafunio
6.Kwenu mko wengi mpaka babako akiingia anasema 'hamjambo wananchi'
7.Kwenu kuchafu mpaka inzi na mende huvaa malapa. kwel au wanakucngizia.?
Nyingine!
Acha mzaha! Please! Nahitaji Romance Kutoka Kwako, tena Kwa Mahaba yote!. Sio siri napenda sana jinsi ulivyo, na amsha amsha yako, mara umeninyonya, mara umenilamba, mara unibanie meno, mara unipe ulimi Kiulaini yaani Daah! nadata Mwenzako...
Loh!! Jamani mpaka napata
ugonjwa wa moyo pale unaponiacha
Ni mimi Mpenzi wako
MSWAKI
Piga Mswaki uone ladha yake!
chezea mswak ww!!?
Madaktari wa meno na kinywa wanashauri kupiga mswaki mara umalizapo kila mlo.
Hahahahahahaha!
Umekomaa hadi ngozi inakubana!we mbona mchoyo mpaka umegoma kumpa mtu mimba,
Nyumba yenu ya nyasi mpaka majambazi wakija wanawaambia fungua au tulete ng'ombe!
Dem wako hanyoi za kwapani,mpaka mkipanda daladala konda anamwambia Kuku peleka kwenye buti!
Babu yako ni mzee mpaka alikuwa shamba boy wa bustani ya eden!
Mashine ya demu wangu inamavuzi mengi kuiona lazima uwimulike na tochi.