Mwaka 2014 nilipita katika misukosuko mingi ikiwemo kukoswa koswa kuuwawa mara kadhaa.. hata hivyo ni Mungu ndie aliyekuwa akinilinda kwa makusudi yake ili nimtumikie na kuwapeleka watu wengi kwa Yesu kupitia kazi yangu.. hivyo jana tar 1/1/2015 nimeamua kumpa Bwana Yesu kuwa mokozi wa maisha yangu.. najisikia amani sana na hofu yote imekwisha..
Mungu awabariki wana JF wote,
happy new year.
Sasa nini hicho alichookokea kama atakuwa katika hatari ya kuanguka tena...???
Kuokoka maana yake ni nini..???
nitafanya ikibidi
Mwaka 2014 nilipita katika misukosuko mingi ikiwemo kukoswa koswa kuuwawa mara kadhaa.. hata hivyo ni Mungu ndie aliyekuwa akinilinda kwa makusudi yake ili nimtumikie na kuwapeleka watu wengi kwa Yesu kupitia kazi yangu.. hivyo jana tar 1/1/2015 nimeamua kumpa Bwana Yesu kuwa mokozi wa maisha yangu.. najisikia amani sana na hofu yote imekwisha..
Mungu awabariki wana JF wote,
happy new year.
Mwaka 2014 nilipita katika misukosuko mingi ikiwemo kukoswa koswa kuuwawa mara kadhaa.. hata hivyo ni Mungu ndie aliyekuwa akinilinda kwa makusudi yake ili nimtumikie na kuwapeleka watu wengi kwa Yesu kupitia kazi yangu.. hivyo jana tar 1/1/2015 nimeamua kumpa Bwana Yesu kuwa mokozi wa maisha yangu.. najisikia amani sana na hofu yote imekwisha..
Mungu awabariki wana JF wote,
happy new year.
hizo taarifa kamwambie mchungaji sisi inatuhusu nn wanajf??
badilisha na hiyo ID yako
Ikiwezekana tumia jina halisi halafu liwe verified!!!nitafanya ikibidi
Kwahio sasa hivi ni mwendo wakuzurura kwa manabii tu.