Hivi kuna binadamu hapendi halua? atakua ni wakwanza. hasa zile zinakuja with nuts inside... yummy! lolKorosho au KONGOSHO.......LOL, nilikuja na korosho lakini ndugu zangu wa hapo Dar wamezigombea, subiri nakuja kula sikukuu huko Dar, nitakuletea Halua, nitakujuza pa kuipata, au hupendi halua wewe!?
Hahahhahaa...hivi haya mambo bado yapo jamani...! Umenikumbusha mbali aisee..
Hivi kuna binadamu hapendi halua? atakua ni wakwanza. hasa zile zinakuja with nuts inside... yummy! lol
Asante (in anticipation)
Ndio maana watu wa huku Pwani twasema, Halua haina makombo!