KAMUZUBERA
Senior Member
- May 9, 2017
- 194
- 154
Habari ya kushinda wana JF
Nina shida naombeni msaada! Mimi naishi nyumba ya kupanga na mda mwingi nikitoka kazini naingia maeneo ya kupata moja baridi moja moto. Huduma ya choo na bafu namalizia bar, lakini ikifika muda wa bili za umeme ,maji na taka natakiwa nilipe sawa na wenzangu hiyo hali inanifanya niumie roho sana maana naona ka naonewa vile .... Je nihame nikakae tu guest au nifanyeje wadauuuuu!!!!