Munkari
JF-Expert Member
- Feb 9, 2013
- 8,084
- 4,365
Naipenda hii avatar yako..natamani niiioe
ichukue tu moja kwa moja sikutozi mahari!
Naipenda hii avatar yako..natamani niiioe
Watoto au mali visitumike kama pingu/jela, kwanini kung'ang'ania ndo usiyo na furaha nayo?Kama hamjazaa ni bora umuache
Nina mke wangu wa ndoa nampenda sana, nimegundua ana mwanaume mwingine na hataki kuomba msamaha anasema nimpe talaka alivyoona sijampa akaamua kuondoka leo siku ya 3 hajarud nifanyaje naombeni ushauri.