Nimepata kazi mwanza, kama accountant, ndo kwanza wanaanza business, tatizo ni salary, wanatoa 500,000 kama take home. imenivunja nguvu, niko njia panda, kwenda au kutokwenda.... msaada.
kazi kupata ni ngumu sana wewe nenda usitake kuishi maisha ya kifahari katafute chumba kimoja cha kupanga anza kufanya kazi, ukizoea ofisi na mazingira fursa zingine zitakuja tu cha muhimu ni kufocus na kuishi kulingana na kipato
Nimepata kazi mwanza, kama accountant, ndo kwanza wanaanza business, tatizo ni salary, wanatoa 500,000 kama take home. imenivunja nguvu, niko njia panda, kwenda au kutokwenda.... msaada.
Kama hawana allowance yeyote its too risk mkuu,utapata shida sana huko ugenini
lakini kama wana vi allowance unaweza kwenda tu,mwanza life is easy sana bob