Mwanyamaki's Son
New Member
- Dec 29, 2012
- 3
- 0
thanx kwa matusi ndugu, mungu akuzidishie...
Nimepata kazi mwanza, kama accountant, ndo kwanza wanaanza business, tatizo ni salary, wanatoa 500,000 kama take home. imenivunja nguvu, niko njia panda, kwenda au kutokwenda.... msaada.
Mbona hujatuambia deliverable zako ku justify hata hiyo laki tano?! Enyi vijana mnaotoka vyuoni siku hizi tena kwa bora elimu mna ndoto nyie!!Nimepata kazi mwanza, kama accountant, ndo kwanza wanaanza business, tatizo ni salary, wanatoa 500,000 kama take home. imenivunja nguvu, niko njia panda, kwenda au kutokwenda.... msaada.
inaonekana unakejeli watu wewe mchezozo wako kacheze na hukothen nikifika mwanza naanza kukaa kwa demu wako au? mi shida yangu ntaanzaje maisha mwanza mpaka ntapokuja kusimama kabisa ....
Huyu huna haja ya kumsikitikia...masasi kwa sasa ni kama ilivyo kibaha town.Kwanza usafiri ni masaa7-8 toka dar..na pia ni mji unaokua kwa kasi sana.habari za panya ni za wenyeji..ni sawa na hbr za wamasai na kula nyama mbichi..je angepangwa BIHALAMULO kama sie wengine angesemajje?Kuna mwingine analalamika hapa eti kapata kazi serikalini but wamempanga wilaya ya masasi..
Anaogopa hadi panyabuku amesikia huko watu wanakula panya anataka kulia halafu ni Mwanaume eti.. Yaani nimecheka hadi nimetaka kuanguka.Kizazi cha dijitali kina vituko mbaya
then nikifika mwanza naanza kukaa kwa demu wako au? mi shida yangu ntaanzaje maisha mwanza mpaka ntapokuja kusimama kabisa ....
Nimepata kazi mwanza, kama accountant, ndo kwanza wanaanza business, tatizo ni salary, wanatoa 500,000 kama take home. imenivunja nguvu, niko njia panda, kwenda au kutokwenda.... msaada.
yani wewe mwenzio 2011 nlianza na take home ya laki tatu. Cha muhimu tafuta chumba kisizidi 50000 nunua godoro weka chini trust me life itaji adjust tu. Tena yani mimi ni kizazi cha dijitali lakini nina uwezo wa kufikiri huo mshahara ni mkubwa sana. Kama vpi ni pm nikuconsult maana life was very simple to me utadhani likuwa napokea milioni na starehe nlikuwa nafanya
Nimepata kazi mwanza, kama accountant, ndo kwanza wanaanza business, tatizo ni salary, wanatoa 500,000 kama take home. imenivunja nguvu, niko njia panda, kwenda au kutokwenda.... msaada.