Jamani nienda wapi leo, hizi zinaniwasha sana.....

Kama vile juzi nimeona mama mmoja anaomba msaada ITV! Fanya hima na Mungu atakubariki kwa kukuongezea siku za kuishi badala ya kwenda club (kanga moko) ukaopoa ukimwi na ukapunguziwa siku za kuishi!
 
kanunue kwanza computer nyingine hiyo ya zamani sana chenchi mtumie bibi yako amechoka kula pembejeo
 
302775_428033403926636_1047432159_n.jpg

Mkuu Mbuzi Mzee vipi kuhusu kale kamzigo kangu naona safari yangu imekamilika,ikipatikana ata 7ml.siyo mbaya..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom