Jamani nienda wapi leo, hizi zinaniwasha sana..... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani nienda wapi leo, hizi zinaniwasha sana.....

Discussion in 'Jamii Photos' started by MaxShimba, Oct 28, 2012.

 1. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #1
  Oct 28, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 2. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #2
  Oct 28, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Ulipigaje picha mali zangu wewe mbuzi mzee
   
 3. cement

  cement JF-Expert Member

  #3
  Oct 28, 2012
  Joined: May 5, 2012
  Messages: 583
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Elekea kimboka pale buguruni utapata kila kitu ila usisahau kutupa report ahahahaaaaa
   
 4. M

  MKUU WA KAYA JF-Expert Member

  #4
  Oct 28, 2012
  Joined: Apr 18, 2012
  Messages: 201
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Vijisent tu hivyo kaka!
   
 5. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #5
  Oct 28, 2012
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,927
  Likes Received: 2,080
  Trophy Points: 280
  Million sita tu!!!

  Halafu huyo aliyepiga picha hii kama namfahamu!
   
 6. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #6
  Oct 28, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Nasikia ccm wanakutafuta umekimbia nazo zilikuwa za kukomboa kata ya Daraja 2
   
 7. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #7
  Oct 28, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,963
  Likes Received: 1,852
  Trophy Points: 280
  hizo za moto si unaona kuna bastola na simu hapo? chezea vijana wa mwema weye?
   
 8. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #8
  Oct 28, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Nenda nazo Ohio au Kinondoni uchukue dada poa halafu kesho ulete taarifa. Ikishindikana basi nenda zako maeneo ya Sitakishari ukamate manywaji huku ukionyesha hiyo minoti yako.
   
 9. sosoliso

  sosoliso JF-Expert Member

  #9
  Oct 28, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 7,519
  Likes Received: 1,857
  Trophy Points: 280
  Mkuu kuna Pub moja inayoitwa laki ci pesa.. Nenda pale utakunwa mpaka utatoka unga.. Cifa kubwa ya pale ni kwamba mwisho wa ciku utaondoka na nguo ya ndani tu..
   
 10. gobore

  gobore JF-Expert Member

  #10
  Oct 28, 2012
  Joined: Aug 17, 2009
  Messages: 730
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Hivi hako ka PK Si kana 8 slugs tu? Sa ukikutana na wahuni wanakupopoa? Au kuna nyingine ya kwenye buti kama Malima?
   
 11. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #11
  Oct 28, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  Hizi sio za yule jamaa zilizochukuliwa Morogoro?
   
 12. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #12
  Oct 28, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,473
  Likes Received: 4,752
  Trophy Points: 280
  Adam Kighoma ALLy Malima-Morogoro....................
   
 13. Mwanahisa

  Mwanahisa JF-Expert Member

  #13
  Oct 28, 2012
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 1,397
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mbuzi Mzeee, next tym kua makini umeuza sura kwenye screen ya laptop hapo!
   
 14. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #14
  Oct 28, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160

  Mkuu una macho makali sana .... nashukuru kwa onyo safi
   
 15. sifongo

  sifongo JF-Expert Member

  #15
  Oct 28, 2012
  Joined: Jun 5, 2011
  Messages: 4,597
  Likes Received: 2,401
  Trophy Points: 280
  Hizo pesa, simu na bastola sio vya marehemu kamanda Barlow.......Mbuzi Mzee unatafuta balaa na Mwema
   
 16. M

  Mundu JF-Expert Member

  #16
  Oct 28, 2012
  Joined: Sep 26, 2008
  Messages: 2,719
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Kimboka kupima oil ni sh.150; sasa hizo zote si utasababisha msururu mrefu kama enzi za ugawaji?
   
 17. Mwana Mtoka Pabaya

  Mwana Mtoka Pabaya JF-Expert Member

  #17
  Oct 28, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 11,744
  Likes Received: 8,007
  Trophy Points: 280
  unavyo?
   
 18. Miwatamu

  Miwatamu JF-Expert Member

  #18
  Oct 28, 2012
  Joined: Oct 2, 2012
  Messages: 1,453
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 133
  Mbuziiiiiiiiiii ama kweli wewe umepinda sana!!! Duh, si nafuu uwaalike akina Preta, Ciello, slim na wanajamvi wetu wengine walau wakasaidie kusherehekea ushindi wa kishindo wa chaguzi za leo? Ila mimi mwenzangu naomba uniache maana huo mguu wa kuku unatisha.
   
 19. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #19
  Oct 28, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Sawa sawa Mkuu, ngoja ni wa PM
   
 20. Ng`wanakidiku

  Ng`wanakidiku JF-Expert Member

  #20
  Oct 28, 2012
  Joined: Apr 18, 2009
  Messages: 1,196
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Leo ulifanya ujambazi wapi? Je uliua au?
   
Loading...