Jamani ni saidieni mimi

mtu ambaye alikuwa akimfanya alale au achelewe kurudi nyumbani nilikuwa nishamfaham.

Kweli wewe si mzima mkeo anagongwa nje, na mgongaji unamjua, mmh Yaani ningekuwa namjua huyo wife wako inaonyesha ana huruma sana! Mkae huko huko kwa kina Ngosha, usije nae huku jijila balaa.
 
kumpenda na mpenda tena sana na wala sina tatizonae kwasaabu najua atazunguka ila atarudi palepale afu kitu kingine mtu anaye mfanya alale nje nisha mfaham tena kitambo tu. ila najiuliza kwanini kaniambia vile?

Mh kaka bi mkubwa kakuchezea huyo sio bure! yan had anaemfanya alale nje umeshamjua na hata kuuliza hakuna! kazi kwel kwel. ss mwenzio kanogewa mpe talaka yake, kwel ameona haubehave kama wanaume wenzio uku dunian. Haya yako sio mapenzi kwake bali uzoba! afu mko na age gan nyie? ilo nalo la muhimu kujua.
 
wewe ni mjinga na mpuuzi mkubwa kabisa.....huna akili na wala hujitambui....mke wako analala nje na humuulizi?!!! untegeme nini?....hufai kabisa
 
Hata kukuita mjinga nitakuwa nimekusifu sana! Ulifikiri kuoa mchezo eeh, umeprove failure eneo hilo. Tafuta wazee wakupe shule.
 
Kumbe Bushoke hakukosea eeh! wako wengi! Hivi unalijua limbwata wewe? ndio hilo babu unalo!
 
Nimeanza tangu nikostandard 4. najua ni kitu ambacho si chakawaida ila i don't need other pussy bro, na kuishi bila mtu kwa umri kama wangu ni kiaina na pia nina wafaham madem vizuri tu. sasa niambie nimpekipigo au niwambie wazazi wake au nifanyeje?

Mimi ili nikushauri naomba unijulishe yafuatayo.Je huyo mtu ambaye alikuwa akimsababisha alale nje ni mwanaume?Kama ni mme ,je wewe unakubali kushare na huyo mme?Hata dini hapo kwenye KUZINI haikubaliki.Kipigo hakisaidii.Kaa naye akueleze anakolala anapewa nini usichoweza kumpa.Then ni PM kwa ushauri zaidi.
 
Mkuu na wewe una makosa sana...Wewe ulioa au uliolewa..fanya review ya muenendo wa tabia zako na majukumu yako kama mume ndani ya nyumba.Je unayatekeleza ipasavyo?...Mke anatoka asubuhi anarudi usiku saa 6 au harudi kabisa wewe unachekelea tuu. eti unampenda sana... alichokuambia yuko sahihi kabisa, ni kweli humpendi au kumjali kama unavyojiaminisha. ungekuwa unampenda ungefuatilia nyendo zake na kutaka kujua anapotoka nyumbani asubuhi anakwenda wapi au analala nje ya ndoa analala wapi. Mpe chake aendelee na ustaarabu wake. umeshindwa majukumu yako kama mwanaume ndani ya nyumba akawa yeye ndo mwanaume. kuna kitu ambacho kilimfanya awe anafanya hayo anayofanya ili kukushitua ujitambue lakini bado ameona haisaidiii...inawezekana kabisa alikuwa analala hata kwa ndugu wa karibu na ushahidi watakupatia ili waone unachukulia vipi muenendo wa mke kama mume ndani ya nyumba. Acha kutuangusha wanaume wenzake mkuu. simama kwa miguu yako mitatu...
 
Ila jana kaniambia anataka taraka yake tena akiwa analia kumuuliza sababu, anasema eti si mjali kwa sababu alikuwa akilala nje na kuchelewa kurudi nyumbani akitegemea nitamuuliza na kumfokea lakini haikuwa hivyo so anahisi naeza nikawa simpendi au kama si hivyo, basi ninademu mwingine na anataka ujua msimamo wangu uko wapi? Mpaka sasa sijajua la kufanya nisaidieni ndugu zangu.

huyo ni wako tu hana pa kwenda imarisha mawasiliano naye na aelewe jinsi ambavyo huna mashaka naye.............
 
eeeh! Haya makubwa sana.
Naona hiyo inataka kuwa fasheni Mwanza.
Ni nini kimetokea jamani?
 
Ni mwaka wa pili tangu nioe, ila mwezi wa 11 mwaka jana mke wangu kaanza mauzauza. Anatoka asubuhi kurudi ni saa sita au asubuhi ya siku inayofuyata. Kafanya hivyo kwa muda wa miezi miwili sasa na mimi sikutaka kumuuliza wala kumugasi kwa lolotelile saabu nampenda sana na ninafahamu yeye pia nimtu mzima so maswala ya kuulizana ulikuwa wapi au umelala wapi si ishu.

Ila jana kaniambia anataka taraka yake tena akiwa analia kumuuliza sababu, anasema eti si mjali kwa sababu alikuwa akilala nje na kuchelewa kurudi nyumbani akitegemea nitamuuliza na kumfokea lakini haikuwa hivyo so anahisi naeza nikawa simpendi au kama si hivyo, basi ninademu mwingine na anataka ujua msimamo wangu uko wapi? Mpaka sasa sijajua la kufanya nisaidieni ndugu zangu.

mi nazani wee ni punguwani, ambae ustaili kupoteza muda wetu kwa kuchangia upunguwani wako,mke analala nje auulizi kisa unampenda;>?yhunshdjwuZako we
 
Wewe pia una matatizo, yaani mwanamke anarudi muda anaoutaka yeye unasema ni mtu mzima huna haja ya kumuuliza, suala la utu uzima hilo alikuwa nalo toka alipofikisha miaka 18 vinginevyo usingemuoa,, acha kuwa mwanaume suruali.Anyway mimi sikushauri muachane kwani tayari mna mtoto na mkeo anaweza kukaa chini na kutulia kama mtazungumza, zungumza nae vizuri mrekebishe pale ambapo yeye anafikiri pana tatizo ina wezekana kweli wewe humjali na hapo lazima ashtuke.Tenga muda wa kukaa na mkeo yanawezekana kuna mengi yanamsibu na anashindwa kukueleza just because anakuona hujali na hilo ni tatizo, kwa hiyo anakosa mtu wa kumueleza mambo yake na wa kumuamini.Badilika.
 
Wewe **** kweli ka vipi vaa magauni tena ukome kuekezea,upuuzi kama huo hapa una
wadhalilisha wanaume wenzako
 
huyo demu anatafuta sababu ya tu,yeye ndo mwenye makosa,kama utam-bembeleza utakuwa mtu wa ajabu sana
mulize kama yeye anakupenda,huko alikokuwa analala ni wapi,na kwa nini,
zaidi ya hapo huyo mkeo hafai
 
Unaweza kukuta hata huyo mtoto siyo wako fungua turbo ya kichwani acha udandala .
 
Ndugu yangu,pole,dah!Hawa watu bana!Faham kama una hisia na mtu halafu unaogopa kusema ukweli hauko mapenzini,uko kwenye kitu kingine!Pia huyo mke wako anajijua ana makosa anachofanya anataka ushtakiwe na dhamira ili ujione mwenye makosa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom