Jaribu kua specific, unahitaji kutengeneza database ya aina gani? au rahisi zaidi kwa matumizi gani?
Zipo database designs tofauti ni ngumu kukwambia tumia program fulani bila kujua umekusudia kufanya nini.