edger jairos
JF-Expert Member
- Apr 17, 2017
- 335
- 71
Eti....?? Naomba kuuliza inzi huwa wanalalaga wapi baada ya kiza kuingia?.
Una taka uwa wekee netiEti....?? Naomba kuuliza inzi huwa wanalalaga wapi baada ya kiza kuingia?.
Kata gogo hapo ulipo utawaona wanakuja ndani ya dk sifuri halafu uwaulize hilo swaliEti....?? Naomba kuuliza inzi huwa wanalalaga wapi baada ya kiza kuingia?.
Choo cha kukaa ..unatak watokee wapKata gogo hapo ulipo utawaona wanakuja ndani ya dk sifuri halafu uwaulize hilo swali
Kata utaona tu majibuChoo cha kukaa ..unatak watokee wap
samahani lakini ...wewe ni me au Ke?I eat at the table and sleep by the window.
I am a housefly
Kwani unatafuta mume? Siufungue uzi wako kuliko kudandia kwenye uzi wa mwenzako.samahani lakini ...wewe ni me au Ke?
Hili ndio jibu ww mleta madaI eat at the table and sleep by the window.
I am a housefly
Kwenye majengo ya CCM.Eti....?? Naomba kuuliza inzi huwa wanalalaga wapi baada ya kiza kuingia?.