Jamani ndoto yangu ni Husninyo!


yaani BAK hii topic nafikiri ni zaidi ya style ya kuandika kwangu. Nway, perception zinatofautiana.
 
Reactions: BAK
Unampoteza mdada wa watu ww!!

 
duh,kumbe husninyo ni dume?
sikuwahi dhania
 
Huyo jamaa naona psychology yake iko juu,kesha pambana nao mara kibao,uva te mantena?
 
hahahaha, we katavi nitakuwa sikufundishi yale maujanja ya kuhutubia. We endelea kuharibu hapa. Lol.

Ahahahaaah!! Tafadhali mwalimu, nilikuwa namuonya tu ili asikusumbue na ukaharibu ratiba yetu.
 
ameshakuwa mwalimu wako tena co nanii?
 
kwaiyo unavyomuona Husninyo ana rigi frani kwny jf unahisi labda analigi pia kwenye bedi!! Teh teh teh teh....
 
Triple A vipi mbona kama umekaa ki kukataliwa hivi ndiyo maana unakuja ana sred kama hii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…