Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
pole sana mama!vichomi na mvua vinahusiana...KWASABABU YA BARIDI...!Naomba ushauri jamani,yani mvua ikinyesha naumwa sana vichomi na pia nabanwa na kifua sana,lkn leo kiuno kinaniuma sana hata sijui tatizo ni nn,nisaidieni
pole sana mama!vichomi na mvua vinahusiana...KWASABABU YA BARIDI...!
hilo lingine,dah!nadhani unakaamno kwenye pc
pole sana mamii lakini kiuno ni kazi ya AK kukinyoosha na kufanya massage masaa kadhaa kila siku kitaachia.Naomba ushauri jamani,yani mvua ikinyesha naumwa sana vichomi na pia nabanwa na kifua sana,lkn leo kiuno kinaniuma sana hata sijui tatizo ni nn,nisaidieni
Thanks G hili la vichomi yani nakosa raha kabisa!kiuno kimezidi kabisa maana huwa sina tatizo hilo yani nashindwa kusimama mpaka kinapotulia
Mdogo wangu, pole sana kwa maumivu yanayokupata. Mimi ningependa kukusaidia kwa kukupa ushauri, ila data ulizotoa ni chache. Nina maswali machache tu ya kunisaidia kunipa mwanga. Umesema mvua inaponyesha unaumwa vichomi, je ni mpaka unyeshewe ulowe au hata ukiwa ndani ya nyumba/ ofisi /gari hujalowa lakini bora imenyesha unadhurika? Na hicho kiuno nacho kinatokana na athari ya mvua, yaani ikinyesha tu nacho kinaleta tabu? Haya maumivu yanaendelea kwa muda gani tangu mvua ikisha katika? Je ukisafiri (mathalani unashuka kwenye ndege) unakuta huko uendako mvua ilinyesha kama nusu saa iliyopita bado wadhurika?
Pole sana. Ila wakati wa bariki mifupa ndiyo penyewe kama ulikuwa na tatizo hilo, hata hivyo kila kitu kina mwanzo wake. Pia usikute ulifanya sana kazi za kuinama(kiukweli si vinginevyo kusikokuwa na nidhamu). Tumia dawa nyepesi za kuchua kama volin pamoja na mazoezi kidogo. Kama hubby au mtu wa karibu yupo akufanyie massage kidogo. Halafu pia zoezi lileeeeee kwa hubby kama hajasafiri!!!! Within 3 days tupe majibu!!!
Pole sana mama nadhani tatizo kubwa ni baridi kwako kama huko bongo mvua zinanyesha na baridi kibao hilo tu ndo litakuwa tatizo na mbaya zaidi kama unakaa ukanda wa pwani ka Dar utakuwa umezoea joto so baridi kidogo tu lazima usumbuke. Jitahidi kuvaa pull over hasa wakati wa baridi nadhani ndo itakuwa ndo inakuletea vichomi. Kuhusu kiuno nadhatn tatizo laweza kuwa ni baridi au kama ujuavyo mama zetu zikikaribia zile siku za hedhi basi viungo huwa vinauma kwa hili waweza kumeza pain killers. Pole sana dadangu!Naomba ushauri jamani,yani mvua ikinyesha naumwa sana vichomi na pia nabanwa na kifua sana,lkn leo kiuno kinaniuma sana hata sijui tatizo ni nn,nisaidieni
Naomba ushauri jamani,yani mvua ikinyesha naumwa sana vichomi na pia nabanwa na kifua sana,lkn leo kiuno kinaniuma sana hata sijui tatizo ni nn,nisaidieni
pole sana mamii lakini kiuno ni kazi ya AK kukinyoosha na kufanya massage masaa kadhaa kila siku kitaachia.
Pole sana ndugu! je ulisha wahi kupata ajali ya gari kipindi cha nyuma (zaidi ya miaka 10 au hata 5 ) yawezekana hilo likawa tatizo la kuumwa kiuno maana tatizo kama hilo lillishawahi kunipata nilipata ajali ya gari kipindi niko shule 80's niliumia sana nikaja patwa na tatizo la kuumwa kiuno hata kutembea nikawa na shindwa kuja kwenda MOI wakagundua uti wa mgongo wangu una matatizo sababu ya ile ajali nilioipata miaka 30 ilipita nianzishiwa mazoezi ya viuongo palepale MOI hadi leo hii bado hilo tatizo ninalo na siwezi fanya operation kwasababu tatizo limekomaa nila muda mrefu ila unapewa masharti yao ukiweza kutimiza tatizo hilo huwa linapotea, masharti yenyewe ni kutobeba vitu vizito, kutokukaa muda mrefu pahali paoja, kutovaa viatu virefu ama vyenye kisigino, kupungua uzito, kuto inama kwa muda mrefu hata kama unafua jaribu kukaa kwenye kigoda na usiiname muda.
Pole sana mama nadhani tatizo kubwa ni baridi kwako kama huko bongo mvua zinanyesha na baridi kibao hilo tu ndo litakuwa tatizo na mbaya zaidi kama unakaa ukanda wa pwani ka Dar utakuwa umezoea joto so baridi kidogo tu lazima usumbuke. Jitahidi kuvaa pull over hasa wakati wa baridi nadhani ndo itakuwa ndo inakuletea vichomi. Kuhusu kiuno nadhatn tatizo laweza kuwa ni baridi au kama ujuavyo mama zetu zikikaribia zile siku za hedhi basi viungo huwa vinauma kwa hili waweza kumeza pain killers. Pole sana dadangu!
wacha bwana!asante sana mkuu kwa ushauri wako. hakuna shaka tutajitahidi kuuzingatia......... ubarikiwe na Bwana