jamani jamani jamani mi simoooo,naona mna lenu jambo shaulilo
Ebo! Si huyu ndo alituambiaga kuwa umemtunuku penzi lako?
shukrani DOKTA CHAPAKIUNO!
maelezo meeengi,hebu nitafute nikupe bia leo
Ahaaa! Poajamani jamani jamani mi simoooo,naona mna lenu jambo shaulilo. Mi wangu ni G tu!
a very understanding shemeji I have.....AK!!!!achana naye sweet anachangamsha jamvi.................
hivi unadhani yule dokta wetu pale ananipa shule ndogo? hahahaa
ngoja ni do ze nidiful....
umeanza kamchezo kaka chief editor eeeeeh!!!!???
UMEKULA SENKSI HAPOOOOOOOOOOO!utamuona x-pin,kaizer,fidel,nguli,js,charity,bht,gp,mj1,wooooooooooooooteok basi so utakuwa na kina nani?ngoja that dei niandae dereva kabisa maana isiye ikawa "pumzika inapobidi,pumzika kam huziwezi pom....."
Hehehe! Hommie Ulinambia uligradyueti MUCHS mwaka gani vile?
Hehehe! Dr. Kiuno kamwaga bonge la prescription!
UGUA POLE PEARL MWAYA!
YAANI leo ndo najua weewe ni mult-profesheni hivoo!!!!!
Mbona hukumalizia By DR injinia wa kiuno, sorry viuno........G.pole sana mama!vichomi na mvua vinahusiana...KWASABABU YA BARIDI...!
hilo lingine,dah!nadhani unakaamno kwenye pc
UMEKULA SENKSI HAPOOOOOOOOOOO!utamuona x-pin,kaizer,fidel,nguli,js,charity,bht,gp,mj1,woooooooooooooote
kwa vyovyote ujumbe umemfikiaMbona hukumalizia By DR injinia wa kiuno, sorry viuno........KAIZER.
Twinuska yani hawa watu bana so funny,anywei I DO LOVE THEM ALL
Twinuska yani hawa watu bana so funny,anywei I DO LOVE THEM ALL
Ukiwaona ujue hao ndo wanaomuuguza mgonjwa.
si ni kweli Pearl eeh!