Dark City
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 16,253
- 11,598
1. Mungu sio Athumani...sijui kwanini walichagua hilo jina ila msemo wenyewe unamaanisha Mungu sio mwanadamu.Wanadamu tunajulikana kwa uchoyo...wivu na roho mbaya...Mungu hana wivu na watu wake wala hatunyimi yale tunayostahili wala hatuchukii kiasi cha kutopenda tuendelee...kama unaweza unawezeshwa.Na ndio maana huu msemo hua unatumika pale mtu anapopata mafanikio.2. Mkaidi hafaidi mpaka siku ya Iddi....ni wazi kwamba siku za sherehe hakuna ubaguzi...hata yule mkorofi wa wote atatritiwa kama wenzake...ubwabwa atapata...nguo mpya atavaa.Yani yule ambae katika hali ya kawaida kila mtu anamnyooshea vidole au anamkwepa siku ya sherehe wanakula nae ubwabwa bila matatizo!!3.Mtema kuni ngoja nimfikirie!Btw nimesign in kuchangia hapa tu kwahiyo nategemea Thanks na Likes za kumwaga!Weekend njema kwa wote nnaowapenda na nsiowapenda.MNAJIJUA!!
Ndo maana mimi nimesema Athumani alikuwa ni bahiri wa kutisha...Mungu si bahiri ...Mungu anatoa tu kwa kila mtu ingawa wengine wanaambulia makombo!!