King'asti napenda sana Lift. Kunawengine wananipaga Lift wakati wakushuka wananipa number ya simu na pesa ili ninunuevocha niwe nawapigia simu.Mama yako hajakukataza kukwea lifti? Na uzee huu naogopa lifti. Mama Ngina na Mtambuzi mmeniponza
Lift ya kwenda Tarakea Tar 23.
Lift ya kwenda Tarakea Tar 23.
Ahahhaah imetulia hiyo. Baba v muambie hata simu sio yako akugonge na ka galaxy note 3 shaaa! Kweli mjini msingi kiuno, mie konokono imekula kwanguKing'asti napenda sana Lift. Kunawengine wananipaga Lift wakati wakushuka wananipa number ya simu na pesa ili ninunuevocha niwe nawapigia simu.
Utampa lifti ya malazi na vocha?Ni PM namba yako mie naenda huko, ila tutapitia Morogoro tutalala siku moja then Dodoma siku moja ndo tutageuza speed tutalala tena Tanga siku moja baada ya hapo Tarakea hii..
Ahahhaah imetulia hiyo. Baba v muambie hata simu sio yako akugonge na ka galaxy note 3 shaaa! Kweli mjini msingi kiuno, mie konokono imekula kwangu
Utampa lifti ya malazi na vocha?
Ni PM namba yako mie naenda huko, ila tutapitia Morogoro tutalala siku moja then Dodoma siku moja ndo tutageuza speed tutalala tena Tanga siku moja baada ya hapo Tarakea hii..
Baba V sasa hapo mtakuwa mnakwenda Tarakea au singidani, hiyo route sijaielewa.
saitaaa dadaaa.....ikifika kulee ulete kwanteelift ya kwenda tarakea tar 23.