Ni PM namba yako mie naenda huko, ila tutapitia Morogoro tutalala siku moja then Dodoma siku moja ndo tutageuza speed tutalala tena Tanga siku moja baada ya hapo Tarakea hii..
Hapa napo umenena
Ahahhaah imetulia hiyo. Baba v muambie hata simu sio yako akugonge na ka galaxy note 3 shaaa! Kweli mjini msingi kiuno, mie konokono imekula kwangu
Utampa lifti ya malazi na vocha?
Unabahati umeniwahi kutoa lift maana hiyo ratiba angeipata tukishaanza safari.
una miaka mingapi ?? kwa ajili ya tathimini kama lift inalipa. natamani nikupe lift, baba V nipe ruksa route yanga via Singida
kweli huyu mzee ni nourmer